Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Je kwa sasa unajutiaje mgomo huo?? Maana hakuna kitu kinarudisha nyuma maendeleo ya mtu kama kugoma kufanya kazi au kusoma. Consequences zake huwa zinajitokeza baadaye na huwa ziko kwenye negative side daima. Kila mtu usema ningejua...Dudu ametutoka! Daah nakumbuka alichotufanya tulipogoma kutokana na chakula kibovu.