Tuliosoma st kayumba tutiririke jambo lolote kwa kiingereza chetu kibovu,usitumie kiswahili

Tuliosoma st kayumba tutiririke jambo lolote kwa kiingereza chetu kibovu,usitumie kiswahili

Walimu wetu wa upe walikuwa noma sana, mwalimu anakusalimia asubuhi kwa kingereza Kikali, How did you wake up?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]naskia wametumbuliwa
 
Kutana na Police wa kibongo kamkamata Mzungu. Yesterday I saw you at the maize shop which means (Jana nilikuona kwenye duka la Muhindi). When you saw me you started to six six. (Uliponiona ukaanza kusita sita) You run away and plant the car (Ukakimbia na kupanda gari) Now snake well before I cut you a Millet (Nyooka vizur kabla sijakukata mtama) Chezea Police wa Magu wewe......!!!!!
Hahaahaaaa......[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Back
Top Bottom