Tuliosoma Tecc kwa Kapama tufahamiane please

Tuliosoma Tecc kwa Kapama tufahamiane please

Chakorii

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
18,773
Reaction score
51,429
Habar za jion ndugu zangu.poleni na mihangaiko ya kila siku.na mimi najipa pole leo kwa kukesha Jf.
Moja kwa moja kwenye lengo

Wapendwa Jf ni kubwa na ina watu waliotoka sehemu mbalimbali kwa pamoja sisi ni familia.

Jamani naomba kama kuna yeyote huku kasoma Tecc iwe ni O level au Advance tufahamiane tafadhali kama hamtojali.hata ikitupendeza na kukubaliana tukamuone mzee wetu Kapama japo asante tu maana amewasaidia wengi (hapa najua kuna watakaokuja na ooohooo akatumwa kutuchunguza mara sijui nini.kama itakupendeza tufahamiane tu mkuu)

Kuna watakaouliza kawasaidia nini!!kama wewe hukusoma pale iwe ni kwanzia mwaka 2014 au 2015 kurudi nyuma hutojua nini namaanisha

Kufahamiana ni kuzuri jaman japo kwa hizi hizi Id fake si mbaya.

Nawasilisha
 
Tecc ndio wapi

Sent from my Iphone 7 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom