Hapana boc. Nilisoma kidogo nkarudi TZ kwasababu Kibuli hawakua na kiswahili. Na sithani kama wanautaratibu huopoa poa mkuu lakini samahani je unajua vituo au sehemu katika jiji la Kampala au entebe ambapo mtu anaweza akafanya mtihani as purely private candidate
Dah.. Kaunga na bijanjaro...umenikumbusha mbali sana mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23]Waliosoma ug asilimia kubwa walikumbwa na home sickness mm nimepiga kule ki roho mbaya km vile sina baba sina mama huku tz,nna wanangu wa kisomali tumekula sana macron ila maisha kule tafu ukiwa lele mama mwezi tu unaomba nauli ya kurudi home,kikomandoo,obutunda,omunanas,kaunga ne bijanjaro vilituhusu sana
Ila big up kwa Mr mu7 kwa kuwalinda forena
Hahahaaaa.. a.k.a tovic.!Bila shaka ulimkuta Matovu
Wewe ulikua unashinda kabalagala... Au kamwokya... HahahaaWaliosoma ug asilimia kubwa walikumbwa na home sickness mm nimepiga kule ki roho mbaya km vile sina baba sina mama huku tz,nna wanangu wa kisomali tumekula sana macron ila maisha kule tafu ukiwa lele mama mwezi tu unaomba nauli ya kurudi home,kikomandoo,obutunda,omunanas,kaunga ne bijanjaro vilituhusu sana
Ila big up kwa Mr mu7 kwa kuwalinda forena
Wale wa St Lawrence, Hana Mixed, St Marys Kitende, Kabojja boys, Eagles Nest utawajua tuu...Aaaah aaaah way back in uganda....
Ule mji kampala ni taamu saaana style ya maisha yao.... starehe... vyakula e.t.c
Wana club saaafi saaana sijaona huku tz kwa kweli...
Club 9, hancy.. la bonita... angenour... viva... silk...
Nyce saàna
Kulikua na kitu kinaitwa KIMASO cjui km unakijua mleta uzi... ndo yalikua mambo yangu.
Kampala murunji saaana.
Plate namba yangu ilikuwa inapatikana sehemu za kihuni kuanzia huko kabalagala,ndeeba,katwe,kisenyi ndo palikuwa km home kabisa nimekaa sana pale kwa wahuni,huko eagles nest nilikuwa naenda kula ugali wao na bijanjalo km na mm nasoma pale vile si unajua smtime maji yakiwa ya shingo??Wewe ulikua unashinda kabalagala... Au kamwokya... Hahahaa
Mwaka gan mkuu ulikuwa unatimba Eagles nest kupiga chaunga unayo sema ni kweli pale hakuna ulinzi kuzamia rahis sana muda wa munusoPlate namba yangu ilikuwa inapatikana sehemu za kihuni kuanzia huko kabalagala,ndeeba,katwe,kisenyi ndo palikuwa km home kabisa nimekaa sana pale kwa wahuni,huko eagles nest nilikuwa naenda kula ugali wao na bijanjalo km na mm nasoma pale vile si unajua smtime maji yakiwa ya shingo??
Kimaso sikipati icho mkuuAaaah aaaah way back in uganda....
Ule mji kampala ni taamu saaana style ya maisha yao.... starehe... vyakula e.t.c
Wana club saaafi saaana sijaona huku tz kwa kweli...
Club 9, hancy.. la bonita... angenour... viva... silk...
Nyce saàna
Kulikua na kitu kinaitwa KIMASO cjui km unakijua mleta uzi... ndo yalikua mambo yangu.
Kampala murunji saaana.
Daah silk ndio club yangu ya kwanza na ya mwisho kuingia niliyo yakute mule sikutaman tena kuingia club sijui ushamba.....Aaaah aaaah way back in uganda....
Ule mji kampala ni taamu saaana style ya maisha yao.... starehe... vyakula e.t.c
Wana club saaafi saaana sijaona huku tz kwa kweli...
Club 9, hancy.. la bonita... angenour... viva... silk...
Nyce saàna
Kulikua na kitu kinaitwa KIMASO cjui km unakijua mleta uzi... ndo yalikua mambo yangu.
Kampala murunji saaana.
Daddy Kasozi,Mr Mulema,Mr Musoke,Mrs Aliti,Miss Nalule[emoji23][emoji23][emoji23]BG(02-08)Bright grammar PS - Masaka 1998-2004
Kibuli S.S - K'la 2005-2008
Where the ballers at?
Kimansulo kaka[emoji23][emoji23][emoji23]Aaaah aaaah way back in uganda....
Ule mji kampala ni taamu saaana style ya maisha yao.... starehe... vyakula e.t.c
Wana club saaafi saaana sijaona huku tz kwa kweli...
Club 9, hancy.. la bonita... angenour... viva... silk...
Nyce saàna
Kulikua na kitu kinaitwa KIMASO cjui km unakijua mleta uzi... ndo yalikua mambo yangu.
Kampala murunji saaana.
Nilisikia ulikuwa ukimlilia dadioDah.. Kaunga na bijanjaro...umenikumbusha mbali sana mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
2011,2012,2013 ila siku hizi papo strictly hakuna kuingia ingia ovyo kwa wasiosoma paleMwaka gan mkuu ulikuwa unatimba Eagles nest kupiga chaunga unayo sema ni kweli pale hakuna ulinzi kuzamia rahis sana muda wa munuso