Titty
JF-Expert Member
- Aug 31, 2016
- 571
- 912
Hapana boc. Nilisoma kidogo nkarudi TZ kwasababu Kibuli hawakua na kiswahili. Na sithani kama wanautaratibu huopoa poa mkuu lakini samahani je unajua vituo au sehemu katika jiji la Kampala au entebe ambapo mtu anaweza akafanya mtihani as purely private candidate
Sent from my GT-N7100 using JamiiForums mobile app