Nseresta (nsereko and esta) ilikua miyeyusho... Ni kama mapambano tuition center ya bongo... Sijui kwa nini wabongo wengi walikua wanaiamini...Wale Nseresta Masaka nyedo tukutana
Yeah.. Those folks.. Saw Mr Mulema juzi and is such an old man..Daddy Kasozi,Mr Mulema,Mr Musoke,Mrs Aliti,Miss Nalule[emoji23][emoji23][emoji23]BG(02-08)
kimansulo....wenyewe wanaita chimansulooo....Aaaah aaaah way back in uganda....
Ule mji kampala ni taamu saaana style ya maisha yao.... starehe... vyakula e.t.c
Wana club saaafi saaana sijaona huku tz kwa kweli...
Club 9, hancy.. la bonita... angenour... viva... silk...
Nyce saàna
Kulikua na kitu kinaitwa KIMASO cjui km unakijua mleta uzi... ndo yalikua mambo yangu.
Kampala murunji saaana.
st mary kitende....Wale wa St Lawrence, Hana Mixed, St Marys Kitende, Kabojja boys, Eagles Nest utawajua tuu...
naikumbuka hyo.....ilikuwa pale kituo cha daladala.....kwa juu hiv karibu ma div 8 nafkir....sijui kama bado ipoKuna kitu kilikuwaga kinaitwa sax pub, sijui wangap waliikuta
Heshima kwako mkuu, nilipokuwa Primary nilitamani kusoma Bright Grammar na St. Law na kulikuwa na shule moja matata sana Kenya nimeisahau (something kama Alliance )Bright grammar PS - Masaka 1998-2004
Kibuli S.S - K'la 2005-2008
Where the ballers at?
Bright Grammar ni kitasa mkuu.. Haikosagi kwenye top 10 nationalwide kila mwaka kwenye results za P.7Heshima kwako mkuu, nilipokuwa Primary nilitamani kusoma Bright Grammar na St. Law na kulikuwa na shule moja matata sana Kenya nimeisahau (something kama Alliance )
Nimesoma hapa hapa Bongo