Tuliosoma UG tukutane hapa

Tuliosoma UG tukutane hapa

pia masomo huanza mwezi gan kwa uganda, ushauri wa shule za kusoma ???
 
Aaaah aaaah way back in uganda....

Ule mji kampala ni taamu saaana style ya maisha yao.... starehe... vyakula e.t.c

Wana club saaafi saaana sijaona huku tz kwa kweli...

Club 9, hancy.. la bonita... angenour... viva... silk...
Nyce saàna


Kulikua na kitu kinaitwa KIMASO cjui km unakijua mleta uzi... ndo yalikua mambo yangu.

Kampala murunji saaana.
kimansulo....wenyewe wanaita chimansulooo....
 
Ug life style, owino, rolex, engabu. Key word nazokumbuka nikiwa Nile high. Nakumbuka jamaa wanaogea dumu za lita ishirini ndoo ni luxury
 
Bright grammar PS - Masaka 1998-2004
Kibuli S.S - K'la 2005-2008

Where the ballers at?
Heshima kwako mkuu, nilipokuwa Primary nilitamani kusoma Bright Grammar na St. Law na kulikuwa na shule moja matata sana Kenya nimeisahau (something kama Alliance )

Nimesoma hapa hapa Bongo
 
Heshima kwako mkuu, nilipokuwa Primary nilitamani kusoma Bright Grammar na St. Law na kulikuwa na shule moja matata sana Kenya nimeisahau (something kama Alliance )

Nimesoma hapa hapa Bongo
Bright Grammar ni kitasa mkuu.. Haikosagi kwenye top 10 nationalwide kila mwaka kwenye results za P.7
 
Back
Top Bottom