M24 Headquarters-Kigali
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 8,199
- 8,186
Hao jamaa wanahusika na nini? Tupe ABC zake1. Wale tuliopigwa GWEC tujuane. 2m imepotea kiboya.
2. Jamaa wamefunga group, Wanadai watafungua baadae ila ndo washapata mtaji wa kufungua biashara halali
Pesa ipoWajinga wanapigwa Kila siku,bongo kweli Kuna ela za mchezo.mtu usiseme hatuna ela,sema Hauna ela