M24 Headquarters-Kigali
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 8,199
- 8,186
1. Wale tuliopigwa GWEC tujuane. 2m imepotea kiboya.
2. Jamaa wamefunga group - Wanadai wanaenda kufanya matendo ya huruma wakimaliza, watafungua nadhani ndo washapata mtaji wa kufungua biashara halali za mabasi ya mikoani