Tuliotoboa maisha bila kuwa na godfather njooni tujadiliane

tafsiri ya kutoboa kila mtu anayo ya kwake. Kwa kuwa kipimo cha kutoboa ni cha mtu binafsi, ibaki kuwa sahihi mtu akisema ametoboa kwa kuezeka bati baada ya kukaa muda mrefu kwenye makuti. Naona mnataka kuleta viwango vya akina Bill Gate huku Uswahilini kwetu.
 
Umeona alichojibu
 
Concept ya kutoboa ni variable factor. Kila mmoja ana namna yake ya kujihisi ametoboa
 
Hapo hata baiskeli usafiri tayari au kujilipia daladala kwa uhakika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…