Tuliotoboa maisha kibishi tukutane hapa

Pamoja mkuu komaaa
 
Dah hongera bab. Hiyo stake uliyoweka imenifanya na mm nianze kuwa na roho ngumu. Jmosi ntajaribu 50k
Hahaha....
Remember invest what you are willing to loose......

Mana niliweka stake hiyo kwa maana sina cha kupoteza sio unaweka ada au kodi ya gheto utalimia meno
 
Huwa Inaanza na currency millionaire let's say a dollar millionaire, a paund millionaire, sisi huku ni shilling millionaire
Universal utajiri hupimwa kwa us dollar ,kwa hiyo nikubeba million tatu zangu nkachange hela ya Zimbabwe si ntakuwabilionaire zimbabwe,ushasikia utajiri wa moo umatajwa kwa madafu
 
Kaka Ontario lini utakuja na topic ya kutuibia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…