Tuliotoka Chuo na GPA ya 2.0-2.6, tufanyeje ili tusome Masters?

Tuliotoka Chuo na GPA ya 2.0-2.6, tufanyeje ili tusome Masters?

Sio mindset ya dharau ni ukweli mtupu wallah, mbona hata shule za kata zipo, ni sawa ulinganishe MIT, Oxford na vyuo vya uchochoroni huko, duniani vitu havijawahi kuwa sawa kamwe.
mimi nafahamu watu zaidi ya wawili mmoja HR mwingine IT amesoma udsm master kwa gpa ya upper second bachelor ya Saut
 
Nadhani nature ya udsm tu mwenye gpa ya tatu vyuo vingine ana first class, shule ya pale si lelemama na wanafata vigezo na zamani waliopata pata pale wengi ni waliofaulu vizuri Sasa mtu umesoma chuo huko ulipata three karibu na four eti first class, hawakuchukui kirahisi
We demu acha ushamba wa elimu.... wewe hapo udsm umesoma kozi gani?

haya sikie iyo kozi[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nasema unaweza kulinganisha MIT, Oxford, Harvard na vyuo vya uchochoroni, ujue tu duniani vitu haviko sawa na Wala sio ulimbukeni, ndio maana wengine warefu, weusi, weupe huwezi sema eti ukitofautisha ni mawazo mgando ingawa wote ni watu.
Unachomaanisha UDSM ndo MIT? [emoji23][emoji23][emoji23]

We umesoma kozi gani? [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hivi mtu anaposema elimu ya udsm ngumu anamaanisha nini? Ni masomo konki wanafundishwa au walimu wao wanaamua 2 kuwafelisha makusudi 2? Maana ukisema wanafundishwa masomo konki mbona kwenye usahili wapo kawaida sana tena sana.

Ukisema ugumu wa masomo mbona kuna wanafunzi wanafaulu sana, mfano ni yule binti aliyekua anasoma actuarial science alifumua GPA ya 4.8 why yeye? Tatzo wanafunzi wa bongo imani zao zinawaponza, mfano wale wanafunzi wanaosema hesabu ni ngumu wakati sio kweli.
Mkuu wanafunzi hao wengi ni wale average students kama kwao hakuna kitu rahisi sasa wanatafuta namna ya kujustify performance yao.

Mimi binafsi naamini hakuna elimu ngumu duniani nikiamua kosoma chochote hata leo hii nasoma na nafaulu.
 
Back
Top Bottom