Tuliotoka Chuo na GPA ya 2.0-2.6, tufanyeje ili tusome Masters?

Sio mindset ya dharau ni ukweli mtupu wallah, mbona hata shule za kata zipo, ni sawa ulinganishe MIT, Oxford na vyuo vya uchochoroni huko, duniani vitu havijawahi kuwa sawa kamwe.
mimi nafahamu watu zaidi ya wawili mmoja HR mwingine IT amesoma udsm master kwa gpa ya upper second bachelor ya Saut
 
We demu acha ushamba wa elimu.... wewe hapo udsm umesoma kozi gani?

haya sikie iyo kozi[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nasema unaweza kulinganisha MIT, Oxford, Harvard na vyuo vya uchochoroni, ujue tu duniani vitu haviko sawa na Wala sio ulimbukeni, ndio maana wengine warefu, weusi, weupe huwezi sema eti ukitofautisha ni mawazo mgando ingawa wote ni watu.
Unachomaanisha UDSM ndo MIT? [emoji23][emoji23][emoji23]

We umesoma kozi gani? [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu wanafunzi hao wengi ni wale average students kama kwao hakuna kitu rahisi sasa wanatafuta namna ya kujustify performance yao.

Mimi binafsi naamini hakuna elimu ngumu duniani nikiamua kosoma chochote hata leo hii nasoma na nafaulu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…