Tuliotuma nauli tukazimiwa simu tukutane hapa

rich1

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2015
Posts
3,020
Reaction score
3,309
Wale ambao tulituma pesa ya nauli na yakutolea, mwisho wa siku tukazimiwa simu na kupigwa block..tukutane hapa kwa nia ya kupeana moyo.
 
Ipo hivi, jana niliingizwa mjini 50%

Huyi Singo mama, nilikutana naye Jumatano ,tukaongea wee, mwisho Jana ikawa siku yakulala.

Akaniambia usiku ataenda kwa sherehe then akitoka aje Lodge nilipo.

Akaawa kaniomba Hela ya Saloon,nikamtumia elfu arobain na tano.

Mida ya saa kimi nambili akaniambia niende lodge anakuja

Kweli akajaa, nikamtumia Bia akanywa kanywa, ila kwakua alikua naharaka ya Sherehe, sikutaka nimle

Nikamruhusu aende kwa sherehe, mie nabaki room

KUMBR NIMEFANYA KOSA

demu akasepa, subiria mtu wapiii subiriiii saa tano alosema anakuja, wapii.saa sita wapi..saa saba wapi, nane tisaaaa kumi wapiii...

Nikajua huyu kajifanha mtoto wa mjini

NIKAMWAMWANDIKIA MESEJI NDEFU SANA YENYE VITISHO

Tena nilimwambia ivi,sikiliza wee mtoto mjini namm mtoto wa mjini,siuliacha Kitambaa chako cha jasho??
Sasa naenda kukufanyia ubaya,kwakua umenifanyia ubaya, wacha ubaya uwe ubaya.

Nakuambia ivi, utanitafuta mwenyewe na utagharamika sana.

Imefika saa 11 unusu, ananitumia meseji..ohooo G nisamehee , G nakujaa, ohooo nilitoka kwa Harusi, rafiki zangu wakaniambia tukanywe pombeee,ohooo nnn, sikua na wanaume wala sijafanya baya.

Nikapiga kimyaa..kama nusu saa akafika...hiyo ni 12 alfajiri.

Akaja, sikutaka maneno, nkapima oil, nikajua kweli hajatombwaa...nikamwandaaaaaaaaaa

Nikapiga mzigo pigaa mpaka saa sita , nikasepa zangu nayeye akasepam

FUNZO...
Hizi dems , kuna wakati zinajifanya zina akili sanaa... Sasa siku hizi kauli mbiu ni "UNYAMA UNYAMA TU".

Hao wanaokula nauli, watishieni kuwapeleka kwa mganga ili wasifanikiwe nakwamba watakutafuta wenyewe.

[emoji117]Sitaki ujinga kabisa.
 
Mwamba umetishaaaaa.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Huu wote ni ukosefu wa hela tu ndo maana mnalalama sana.
 
Kuna manz nlikua nmekaa nae juz maeneo
Nkawa naon simu yeke inaita mnoo
Nkamwambia oy simu yako inaita sana why hupokei akasema ah huyu jamaa kanitumia 50 ya nauli na yakula njian
Hiv anajua nipo safari
Nlihuzunika sana

50??????
 
Mm mwezi ulopita kuna dem nlimtongozaga kipind cha nyuma sana. Tukapotezana wala gem haikupigwa. Tukawa tunachat tu maramojamoja, mwaka jana mwishoni akaniambia amehsmia tabora kusalimia ndugi.
Akawa anaomba sana nimtumie nauli aniletee mbususi kwa wiki moja. Nikawa namchenga. Basi bwana mwaka huu akanitafuta tena akaniambia nna ham na wewe maanaume wewe si unitumie nauli nije. Kwa shingo upande baada ya kuniganda sana ikabidi nimtumie 40k akaniambia nywelile sijasuka kwa vile nlikuwa kama nimemshtukia atanipiga basi nikamwambia we njoo tu ukija utasuka huku. Akaniambia bishakata ticketi hapa ngoja nijiandae.
Kesho yake ananiambia mida ya saa nne kuwa ndo anaondoka tbr. Tumeendelea kuchat hadi saa 11 ndo akapotea nikawa nampigia namuuliza ukoapi nije kukupokea baadae nikachoka nikaachana naye
 
Back
Top Bottom