Tuliounguza account za Forex trading

nakuamini mkuu
 
Aminia na pamoja sana kamanda...
 
Hii kitu haitaki pupa wala tamaa ya utajiri wa haraka haraka. Asante kwa ushuhuda wako mzuri wenye kujenga.
 
Acha stor ww unawatia watu umaskini
 
Brother itakua poa kama utatuweka kwenyew time table yako ya lecture la forex huku mtwara joomba
 
Mkuu nakupataje private? Maana kila nikijaribu pm inashindikana.

Nifanyie wepesi tafadhari kama hutojari. Waweza nitumia contact zako nikakutafuta. Ni muhimu sana ndugu yangu
 
Mimi nilianza na dola 199 mwanzoni mwa mwezi wa 10/2017. Ikashuka mpaka 132$ kwa kuwa ilikua trade ikisoma -ve zaidi ya 7 naifunga hivyo bila kujua kuwa trend huwa haiendi kama mstari mnyoofu, Bali huenda kama mawimbi.

Nikaipandisha from 132-278$ tena ikashuka mpaka 172$. Hapo jua nilikua naendelea kujifunza kila siku . nikaipandisha tena mpaka 395 then nika withdraw 225$ ikabaki 170$ usiku wake nikaifikisha 207.

Pia kuna account nyingine ndogo niliweka 54$ baada ya kupata uzoefu kidogo ndani ya siku 10 nikafikisha 270$ nikatoa 98$. Kesho yake nikatrade pairXXXX.

TRADE ilienda against nikaendelea kujifariji kuwa it must come to my side. PATIENT PAYS.
kesho yake account ikawa imebakia robo nikaendelea kujifariji now its a time trend must come to my side. Hatimaye ile account ndogo ikageuka majivu.

Ubaya zaidi same pair nilikuwa nimetrade na kwa account ingine . nilicut loss lakini nilikua too late. Nikawa nimepoteza dola 350+ kwa kosa la kizembe sana.

NILIYOJIFUNZA.
1. Trend ikishavunja support or resistance its no longer your cousin follow it it won't back any more.
2. Cut loses is also part of Forex trade
3. Trading psychology has great contribution to your profit.
4. Get fear when others are greed and vice versa
5. Risk management is good though not mandatory all the time.
6. Big capital has nothing to do with your ability in making profit.
7. Small account also do grow to big account.
8. If you lack some basic principles & strategy on trading Forex you can get right signal/calls still you make loses.
9. Forex is a fastest and highly paying business under the sun.
10. Reading is also a secret for amazing success.
11. Forex is the most addictive business under the sun.
12. Learning Forex business is a process not a condition. Mean that you should keep on updating your understanding for consistency profit gain.
13. A trader who never burn an account has missed a very psychological item which can't be created anywhere. Burn account has something to do with future Forex success.
14. Forex is an art not Science
15. The more you understand it less you be risk taker
16. High leverage from 1:500-1500 are good for beginners. Its also bad on other away
17. Broker is very crucial thing to consider

I learnt a lot since day I blew my account. I am happy because that scenario gave me a lesson which its difficult to understand through story telling. Now am very confident and more energetic than before.
 
Unaweza kunipiga lecture mkuu nianze na mimi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…