Tuliounguza account za Forex trading

Tuliounguza account za Forex trading

Uwe mkweli useme kwamba ww ni mwoga na huwezi kujifunza. Na ukishakuwa na hizo tabia mbili utaishia kusubiri uje kujenga nyumba baada ya PSPF, NSSF kukupa kukufa mafao yako
Kukataa kujifunza forex hakukupi picha ya personality na maisha yangu yote mkuu. Isitoshe nimekupa na reasoning yangu kabisa. Hukustahili kuniambia hayo.

Acha jeuri na kejeli. Live and let live.
 
Tulio pitia hili janga tukutane hapa, kupeana uzoefu kidogo ilikuwaje kuwaje, umejifunza nn, na hatua gani umechukua kuepuka maumivu hayo yasijurudie.

Binafsi: usd 110 imeungua wiki hii.
bosi wewe ulikuwa kwa matapeli ambao wanakuambia ukijiunga unapata pesa kila siku na mbinu yao ukishawishi wengine kujiunga unapata pesa zaidi,hakuna forex ya hivo

forex ni mtindo wa kuchezesha pesa za kigeni.
forex inaweza kuipa thamani pesa na kuishusha kulingana jinsi nchi,biashara,majanga mfano vita,siasa,uchaguzi,uchumi.
forex inaweza kukuza thamani ya kitu kama zamana ya hisa,pesa na
Cryptocurrencies.

watu wengi utaka ulahisi wa kijua pesa zina kuja kwa njia rahisi.
mtindo forex inabidi huwe mtaalamu wa uchumi,siasa na biashara

na wengi wamepigwa kwa mtindo wakutumia njia hii.zipo kampuni nyingi za kitapeli ambazo utumia mtindo huo kudai watakupa mabonasi na marupu puru ujui njia gani.

kazi ya kucheza forex si ya kitoto,kama watu wanavofikiria.
 
Attachments

  • imagesgff.jpg
    imagesgff.jpg
    11.3 KB · Views: 206
Tulio pitia hili janga tukutane hapa, kupeana uzoefu kidogo ilikuwaje kuwaje, umejifunza nn, na hatua gani umechukua kuepuka maumivu hayo yasijurudie.

Binafsi: usd 110 imeungua wiki hii.
Hizi ndio thread ninazozitaka. Nianze kupata in and out za trading maana mda si mrefu nitakuwa kundini
 
JINSI YA KUPATA $30 NO DEPOSIT BONUS YA TEMPLER.
[TAFADHALI SOMA TERMS AND CONDITIONS: ZIMEUNGANISHWA]

huenda ushatumia demo lakini uko na tatizo la mtaji... Au wengine tumeunguza akaunti, jinsi ya kuanza tena ni ngumu, hasa linapokuja suala la mtaji....

ANGALIZO:
Bonus hii ni kwa wateja wapya tu, kama ulishakuwa na akaunti ya Templer na ukaiwekea pesa, hautoweza kuipata, labda ufungue akaunt tofauti.

HATUA ZA KUFUATA:
1. Fungua akaunti mpya hapa:

Templer FX | Start with $30 No deposit Bonus

2. Verify email, namba ya simu (ni bora iwe voda, kwa ajili ya kutoa faida na kuendesha akaunti) na utambulisho wako.

3. Nenda MENU > OPEN ACCOUNT > chagua LIVE UNIVERSALFX > ok

4. Nenda Menu > Bonus > chagua akaunti yako ya universalFX, WEKA REDEEM CODE:

NDB30JN42017

Then submit.

5. Utapokea $30 katika akaunti uliyoifungua, mara nyingi within an hour.

6. Kama huna MT4 ,download hapa:

MetaTrader 4 – Applications Android sur Google Play

Start Trading!!

Ukihitaji msaada wowote, nicheck inbox

Terms And Conditions:

BONUS WITHDRAWAL

The No Deposit Bonus as well as made profit are allowed for withdrawal after the trading volume ( buy and sell trades) overcomes 5 lots. For BO accounts total investment volume must overcome 600$. Only the whole bonus amount is allowed for withdrawal, there is no possibility to partially withdraw the bonus.

The use of this bonus is restricted, so please carefully read the Bonus Agreement before accepting its terms.

No Deposit Bonus Agreement

Every new Client of TemplerFX is eligible to receive the No Deposit Bonus only once. The bonus is incompatible with other types of bonuses.

The No Deposit Bonus is available only for the accounts that passed the full verification.

Profit and Bonus itself are allowed for withdrawal and internal transfer only after trading volume requirements are met.

No Deposit Bonus is deposited into an applicant’s bonus trading account after redeeming a promo code and from that moment its funds are available for 30 calendar days.Once the 30-day term runs out and the offer conditions are not met the bonus funds are cancelled automatically.

Once the required turnover volume is reached, the trading must be ceased, and the profit made transferred into a real trading account, where it will remain until a minimum required deposit is made. At that point, the joint funds will be available for either withdrawal or further trading activities.

In order to withdraw the profit made with the bonus funds the client must fulfill the terms of the offer as they are listed below:

6.1 Reach a trading volume of 20 times more than the sum of the bonus for BO accounts and trade 5 lots for FX accounts;

6.2 Reach that trading volume with a maximum trade amount of simultaneously open positions of 30 USD for BO accounts. The maximum total volume of open positions for FX account is 0.3 lots ;

6.3 Verify a credit card;

6.4 Make a minimum deposit of 10 USD with a credit card within the 30-day bonus term;

6.5 A client can withdraw no more than 150 USD of the profit made with the bonus funds for BO account. The withdrawable maximum for FX accounts is 100$. Any amount exceeding that sum will not be transferred to the real trading account and made available for withdrawal.

Only the whole bonus amount is allowed for withdrawal, there is no possibility to partially withdraw the bonus.

The bonus to be withdrawn must be on your account at the moment when your request is being considered. The company reserves the right to reject the withdrawal request without giving any explanations.

The company reserves the right to cancel the No Deposit Bonus and void trade trading results without prior notice, so factoring the bonus/profits in when calculating the profitability of your trading strategy is strongly not recommended. The company is not responsible for any consequences of the bonus cancelling, including the stop out since the accrued bonus is wholly-owned by the company until the number of lots(volume for BO) specified in Clause 6 of the present Agreement are traded. *

The maximum leverage for clients who received the No Deposit Bonus is 1:1000.

The stop out level for FX accounts is 30%.

The client agrees that in the event the company suspects any fraud activity involving the bonus, the latter can be declared void and the trading result can be annulled.

The Company reserves the right to amend or modify the campaign terms without prior notice
 
Forex is simple but not easy, ina mengi sana ndani yake.

Mtu asiyetaka kukomaa na kusoma sana na kufanya practice kwa sana akategemea mteremko wa kupewa signals hakika hata dumu ktk forex.

Inawezekana mtu akafanikiwa ktk Fx ,Ila itachukua muda na wakati mwingine itabidi uunguze acc hata zaidi ya mara moja ndio akili itakaa sawa.

Kuna ushauri wa kitabu kimoja cha fx wameandika"Trade smart not often"
 
Kawaida ilitakiwa tufanye demo, then tufanye na cent/micro account ndo twende standard account. Kuna vitabu vingne nimesoma vinasisitiza hili.

unapotrade na cent account ukideposit $1 inaenda kusoma 100 katika trading platform ($1=100c), now, kwa rate za broker namtumia kwenye cent acc (bado namalizia kutumia cent account, baada ya kuunguza standard account 3), $1 = 2239TZS, so unaweza kuanza kutrade na cent, ambayo ni real, na ukipata faida unawithdraw, kwa 2239 TZS tu.

Uzuri wa cent ni kwamb utajifunza kucontrol emotions, unlike demo ambayo co real money at all.

Tabu ni kwamba, kama ambavyo ni ngumu kupata hasara, ni ngumu kupata faida pia.

Lakini ikumbukwe kuwa akaunt hii ni ya kujifunzia analysis, na trading psychology kabla ya kwenda standard live.

Ushauri, tumia demo, then nenda cent, then nenda standard.

Uzuri wake broker huyu http://bit.ly/2hrv3Yo anazo zote tatu.

I hope I've been of help. Ukiamua kuregister ukapata shida ucsite kuntafuta.

All the best!
Mkuu hongera kama umeweza kutoka kwenye real standard account na kurudi kwenye cent account,
Psychologically ni ngumu sana kutoka kwenye real account kwenda cent au demo account hata kama umeunguza account 10!
Maana kila ukikaa unaona kama pesa inakupita
 
Bro, ukiwa na malengo ya kukaa kwa game muda mrefu, hakuna namna, ila ni kutafuta ujuzi wa kukaa kwa muda mrefu, kuunguza standard account kunakufanya uwe frustrated as unaloose a lot of money... And I don't want to be frustrated...

Thanks in advance!
 
[emoji409] *TemplerFX*

Habari wakuu , mkombozi amekuja nae ni TemplerFX, ni broker mwenye Spread chache ambazo wewe kama Trader inakuwa na manufaa kwako sana hasa katika muda wa kuanza kuiona faida wakati soko linaelekea upande wako kwani utaiona mapema ukilinganisha na mabroker wengi wenye spread kubwa wanafanya uchelewe kuona faida na kuwa kwenye loss ndani ya muda mrefu hata kama soko linaelekea upande wako.

Taratibu za kujiunga ni nyepesi mno , wanahitaji kitambulisho cha kura / passport/leseni ya udereva., Kimoja kati ya hivyo pamoja na namba yako ya simu ya Vodacom ambayo utaitumia kuweka na kutoa pesa kwa wakala wako,.

Link ya kujiunga hii hapa Templer FX Trader

Note: Ukipata tatizo wakati wa kujisajili wasiliana na mimi PM nitakusaidia.

Kujisajili haichukui muda mrefu, ndani ya saa moja unaweza kukamilisha kila kitu na kuanza trade .
 
Nyie templer mm sijawaelewa! Yaani nime enter long then naanza kuona faida 20pips from entry point? Poa tuu
 
Wanazingua na spread zao ni kubwa afadhali ya tickmill sema ndio ivo tumewakimbilia templer kisa wanaruhusu kudeposit na kuwithdraw kwa M-pesa
 
JINSI YA KUPATA $30 NO DEPOSIT BONUS YA TEMPLER.
[TAFADHALI SOMA TERMS AND CONDITIONS: ZIMEUNGANISHWA]

huenda ushatumia demo lakini uko na tatizo la mtaji... Au wengine tumeunguza akaunti, jinsi ya kuanza tena ni ngumu, hasa linapokuja suala la mtaji....

ANGALIZO:
Bonus hii ni kwa wateja wapya tu, kama ulishakuwa na akaunti ya Templer na ukaiwekea pesa, hautoweza kuipata, labda ufungue akaunt tofauti.

HATUA ZA KUFUATA:
1. Fungua akaunti mpya hapa:

Templer FX | Start with $30 No deposit Bonus

2. Verify email, namba ya simu (ni bora iwe voda, kwa ajili ya kutoa faida na kuendesha akaunti) na utambulisho wako.

3. Nenda MENU > OPEN ACCOUNT > chagua LIVE UNIVERSALFX > ok

4. Nenda Menu > Bonus > chagua akaunti yako ya universalFX, WEKA REDEEM CODE:

NDB30JN42017

Then submit.

5. Utapokea $30 katika akaunti uliyoifungua, mara nyingi within an hour.

6. Kama huna MT4 ,download hapa:

MetaTrader 4 – Applications Android sur Google Play

Start Trading!!

Ukihitaji msaada wowote, nicheck inbox

Terms And Conditions:

BONUS WITHDRAWAL

The No Deposit Bonus as well as made profit are allowed for withdrawal after the trading volume ( buy and sell trades) overcomes 5 lots. For BO accounts total investment volume must overcome 600$. Only the whole bonus amount is allowed for withdrawal, there is no possibility to partially withdraw the bonus.

The use of this bonus is restricted, so please carefully read the Bonus Agreement before accepting its terms.

No Deposit Bonus Agreement

Every new Client of TemplerFX is eligible to receive the No Deposit Bonus only once. The bonus is incompatible with other types of bonuses.

The No Deposit Bonus is available only for the accounts that passed the full verification.

Profit and Bonus itself are allowed for withdrawal and internal transfer only after trading volume requirements are met.

No Deposit Bonus is deposited into an applicant’s bonus trading account after redeeming a promo code and from that moment its funds are available for 30 calendar days.Once the 30-day term runs out and the offer conditions are not met the bonus funds are cancelled automatically.

Once the required turnover volume is reached, the trading must be ceased, and the profit made transferred into a real trading account, where it will remain until a minimum required deposit is made. At that point, the joint funds will be available for either withdrawal or further trading activities.

In order to withdraw the profit made with the bonus funds the client must fulfill the terms of the offer as they are listed below:

6.1 Reach a trading volume of 20 times more than the sum of the bonus for BO accounts and trade 5 lots for FX accounts;

6.2 Reach that trading volume with a maximum trade amount of simultaneously open positions of 30 USD for BO accounts. The maximum total volume of open positions for FX account is 0.3 lots ;

6.3 Verify a credit card;

6.4 Make a minimum deposit of 10 USD with a credit card within the 30-day bonus term;

6.5 A client can withdraw no more than 150 USD of the profit made with the bonus funds for BO account. The withdrawable maximum for FX accounts is 100$. Any amount exceeding that sum will not be transferred to the real trading account and made available for withdrawal.

Only the whole bonus amount is allowed for withdrawal, there is no possibility to partially withdraw the bonus.

The bonus to be withdrawn must be on your account at the moment when your request is being considered. The company reserves the right to reject the withdrawal request without giving any explanations.

The company reserves the right to cancel the No Deposit Bonus and void trade trading results without prior notice, so factoring the bonus/profits in when calculating the profitability of your trading strategy is strongly not recommended. The company is not responsible for any consequences of the bonus cancelling, including the stop out since the accrued bonus is wholly-owned by the company until the number of lots(volume for BO) specified in Clause 6 of the present Agreement are traded. *

The maximum leverage for clients who received the No Deposit Bonus is 1:1000.

The stop out level for FX accounts is 30%.

The client agrees that in the event the company suspects any fraud activity involving the bonus, the latter can be declared void and the trading result can be annulled.

The Company reserves the right to amend or modify the campaign terms without prior notice
 
[emoji409] *TemplerFX*

Habari wakuu , mkombozi amekuja nae ni TemplerFX, ni broker mwenye Spread chache ambazo wewe kama Trader inakuwa na manufaa kwako sana hasa katika muda wa kuanza kuiona faida wakati soko linaelekea upande wako kwani utaiona mapema ukilinganisha na mabroker wengi wenye spread kubwa wanafanya uchelewe kuona faida na kuwa kwenye loss ndani ya muda mrefu hata kama soko linaelekea upande wako.

Taratibu za kujiunga ni nyepesi mno , wanahitaji kitambulisho cha kura / passport/leseni ya udereva., Kimoja kati ya hivyo pamoja na namba yako ya simu ya Vodacom ambayo utaitumia kuweka na kutoa pesa kwa wakala wako,.

Link ya kujiunga hii hapa Templer FX Trader

Note: Ukipata tatizo wakati wa kujisajili wasiliana na mimi PM nitakusaidia.

Kujisajili haichukui muda mrefu, ndani ya saa moja unaweza kukamilisha kila kitu na kuanza trade .
 
Kawaida baada ya kusoma sana inatakiwa tufanye demo trading, then tufanye na cent/micro account trading, ndipo twende kwenye standard account. Kuna vitabu vingi nimesoma vinasisitiza hili.

unapotrade na cent account ukideposit $1 inaenda kusoma 100 katika trading platform ($1=100c), now, kwa rate za broker namtumia kwenye cent acc (bado namalizia kutumia cent account, baada ya kuunguza standard account 3), $1 = 2239TZS, so unaweza kuanza kutrade na cent, ambayo ni real, na ukipata faida unawithdraw, kwa 2239 TZS tu.

[UPDATE: mpaka sasa nshachoma 4]

Uzuri wa cent ni kwamb utajifunza kucontrol emotions, unlike demo ambayo co real money at all.

Tabu ni kwamba, kama ambavyo ni ngumu kupata hasara, ni ngumu kupata faida pia.

Lakini ikumbukwe kuwa akaunt hii ni ya kujifunzia analysis, na trading psychology kabla ya kwenda standard live.

Ushauri, tumia demo, then nenda cent, then nenda standard.

Inasisitizwa pia, broker unayemtumia tangu mwanzo kwa demo, awe ndiye utakayemtumia kwa live account. Hii inakupa uwezo mzuri wa kucontrol trades zako, kwa sbb unakuwa umezoea spreads zake na unajua anavyofanya kazi.

Uzuri wake broker huyu, Templer FX | Trade Cent and Standard Forex anazo zote tatu, demo accounts, Cent accounts na Standard accounts... (Cent Accounts: Demo and Live na Standard Account: Demo and Live)

I hope I've been of help. Ukiamua kuregister ukapata shida ucsite kuntafuta.

Cheers!
 
Back
Top Bottom