Tuliounguza account za Forex trading

hii biashara sijawahi kuelewa...
 
hii biashara sijawahi kuelewa...
 
Mkuu training ya dar ni lini
 
Kama wewe ni 26+ umeajiriwa halafu ukashindwa kuwa inspired na huyu dogo utakuwa na shida kwenye ubongo

Sio lazima ufanye anachokifanya ila lazima ujifikirie mara mbili mbili zamani tulizoea kuwaona watu wa nje tukawa tunajipa moyo kwamba wana mazingira tofauti sasa now tutasemaje?
 
mkuu what's the minimum amount nahitaji ili nifungue account?!
 
mkuu what's the minimum amount nahitaji ili nifungue account?!
Ni kiasi chochote unachoweza.

FX ni biashara kama biashara zingine, ni uamuzi wako uwekeze mtaji kiasi gani katika biashara yako??
 
Kawaida ilitakiwa tufanye demo, then tufanye na cent/micro account ndo twende standard account. Kuna vitabu vingne nimesoma vinasisitiza hili.

unapotrade na cent account ukideposit $1 inaenda kusoma 100 katika trading platform ($1=100c), now, kwa rate za broker namtumia kwenye cent acc (bado namalizia kutumia cent account, baada ya kuunguza standard account 3), $1 = 2239TZS, so unaweza kuanza kutrade na cent, ambayo ni real, na ukipata faida unawithdraw, kwa 2239 TZS tu.

Uzuri wa cent ni kwamb utajifunza kucontrol emotions, unlike demo ambayo co real money at all.

Tabu ni kwamba, kama ambavyo ni ngumu kupata hasara, ni ngumu kupata faida pia.

Lakini ikumbukwe kuwa akaunt hii ni ya kujifunzia analysis, na trading psychology kabla ya kwenda standard live.

Ushauri, tumia demo, then nenda cent, then nenda standard.

Uzuri wake broker huyu http://bit.ly/2hrv3Yo anazo zote tatu.

I hope I've been of help. Ukiamua kuregister ukapata shida ucsite kuntafuta.

All the best!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…