Tuliounguza account za Forex trading

Mm nilianza na sh 200,000 sawa na $89.07 kwa thamani ya sh dhidi ya $ siku ya jmosi tar 25/11. J2 usiku nikaanza trade. Nikafungua trade nyingi sana nafikiri 21. So siku ya j3 nilikula loss ya $29 nikabaki na $59. Leo nimekuwa mtulivu nikafungua trade 6 za EUR/USD kama mentor alivyotoa signal. Sasa hivi nimeshafunga na nimerudisha loss yote ya jna. Bila shaka leo nitaweza kutengeneza $10.
 
ANZA NA MTAJI WA BURE WA $30 [NO DEPOSIT BONUS] YA TEMPLER.

[TERMS AND CONDITIONS LINKED]

Huenda ushatumia demo lakini uko na tatizo la mtaji... Au wengine, kama mimi, tumeunguza akaunti, jinsi ya kuanza tena ni ngumu, hasa linapokuja suala la mtaji....

Ikumbukwe kwamba, Templer pia atakupa uwezo wa kufund na kuwithdraw pesa zako kupitia Mpesa, kama utachagua kuendelea kumtumia, hata baada ya kupoteza hyo $30.

(Don't Worry, Hautodaiwa kama ukiiunguza)

ANGALIZO:
Bonus hii ni kwa wateja wapya tu, kama ulishakuwa na akaunti ya Templer na ukaiwekea pesa, hautoweza kuipata, labda ufungue akaunt tofauti.

HATUA ZA KUFUATA:
1. Fungua akaunti mpya hapa:

Templer FX | Start with $30 No deposit Bonus

2. Verify email, namba ya simu (ni bora iwe voda, kwa ajili ya kutoa faida na kuendesha akaunti) na utambulisho wako.

3. Nenda MENU > OPEN ACCOUNT > chagua LIVE UNIVERSALFX > ok

4. Nenda Menu > Bonus > chagua akaunti yako ya universalFX, WEKA REDEEM CODE:

NDB30JN42017

Then submit.

5. Utapokea $30 katika akaunti uliyoifungua, mara nyingi within an hour.

6. Kama huna MT4 for Android ,download hapa:

MetaTrader 4 – Applications Android sur Google Play

Start Trading!!
TRADE SAFELY!

Ukihitaji msaada wowote kuhusu kuipata hii bonus, nicheck inbox

Terms And Conditions hapa:

TemplerFX No Deposit Bonus Agreements
 
FX BOOKS PDF FREE.

baada ya kuona watu wanahangaika sana kuweza kupata vitabu, na wengine wakishindwa hata kujua waanzie wapi, nikaonelea ni bora niweke channel ya telegram ambako tutaupload vitabu vyote na yeyote ataweza kuvidownload atakapohitaji.

nimechagua telegram kwa sababu haina limit ya idadi ya watu tofauti na groups za whatsapp. kwahiyo kwa yeyote mwenye uhitaji wa vitabu anaweza kujoin chanel na kuvipata.

kama mwingine ana kitabu na angependa kukishare, then inawezekana pia kukiupload.

all the best!

FX Trading Books

cheers!
 
ANZA NA MTAJI WA BURE WA $30 [NO DEPOSIT BONUS] YA TEMPLER.

[TERMS AND CONDITIONS LINKED]

Huenda ushatumia demo lakini uko na tatizo la mtaji... Au wengine, kama mimi, tumeunguza akaunti, jinsi ya kuanza tena ni ngumu, hasa linapokuja suala la mtaji....

Ikumbukwe kwamba, Templer pia atakupa uwezo wa kufund na kuwithdraw pesa zako kupitia Mpesa, kama utachagua kuendelea kumtumia, hata baada ya kupoteza hyo $30.

(Don't Worry, Hautodaiwa kama ukiiunguza)

ANGALIZO:
Bonus hii ni kwa wateja wapya tu, kama ulishakuwa na akaunti ya Templer na ukaiwekea pesa, hautoweza kuipata, labda ufungue akaunt tofauti.

HATUA ZA KUFUATA:
1. Fungua akaunti mpya hapa:

Templer FX | Start with $30 No deposit Bonus

2. Verify email, namba ya simu (ni bora iwe voda, kwa ajili ya kutoa faida na kuendesha akaunti) na utambulisho wako.

3. Nenda MENU > OPEN ACCOUNT > chagua LIVE UNIVERSALFX > ok

4. Nenda Menu > Bonus > chagua akaunti yako ya universalFX, WEKA REDEEM CODE:

NDB30JN42017

Then submit.

5. Utapokea $30 katika akaunti uliyoifungua, mara nyingi within an hour.

6. Kama huna MT4 for Android ,download hapa:

MetaTrader 4 – Applications Android sur Google Play

Start Trading!!
TRADE SAFELY!

Ukihitaji msaada wowote kuhusu kuipata hii bonus, nicheck inbox

Terms And Conditions hapa:

TemplerFX No Deposit Bonus Agreements
 
Tumia broker wa hapa KWETU Afrika mkuu.hivi unajua weupe hawapendi waafrika .jiulize ni kwa Nini hawajaja kutufundisha mkuu.
 
Wakuu me natumia leverage ya 1:25 kwa cent account. Mnashauri nipunguze au niongeze
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…