mwanadome
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 4,950
- 5,317
Hapa bongo unaweza kula mtoto wa jk, mwinyi, mkapa?Yeess ukiwa na Hela unawala pia mkuu. Na wao ni binadamu wanapenda raha na mtelezo sana. Hata usain bolt nadhani anaye mzungu.
Ila ukiwa kapuku hakuna kitu.
Familia ya kihindi unaijua mpaka umuoe binti wao ama wale waarabu pia achana na hawa waarabu koko. Lazima uwe na kashi chafu sana mkuu.
Nimekuambia kuwa wanatuchukia kisa ya umasikini wetu so unapokuwa una Hela wanakupenda pia. Ila hao wanaotafunwa na wao ni màsikini mana atakuwa anamlipia apartment hapo so chini ya dola 8000 kwa mwezi.