Tuliowahi date na wadada wa mataifa mengine tutoe ushuhuda

Hapa bongo unaweza kula mtoto wa jk, mwinyi, mkapa?
 
We jamaa ni saddist fulani hivi, hata hapa bongo kutembea na mtoto wa raisi, waziri mkuu au anaetoka familia ya kitajiri sio rahisi kama unatokea familia ya kimasikini acha ku-ovarrate wazungu
Jamaa kazingua sana.
 
Huwez toa conclusion kwa kufanya research ya mtu mmoja, maana hata bongo mademu wote hawako sawa
 
Ulihadaika nao au walikuzidi ujanja?
Hela yangu yote niliokua nikiipata kwa kupindwa na wahindi waliila. Nilirudi bongo kuliko nilivyoondoka. Mana nilipoondoka nilikua na dola 100 mfukoni 🤣🤣🤣

Waithopia ilikua wanagongeka kirahisi, Ila Pisi Kali za kinigeria bila ya hela ya uhakika huli. na mimi bila ya kupata Black colour na Chura moyo hauridhiki kabisa.
 
Mwezi ulioisha tu nimeokota Dodo la kifaransa likanitunuku penzi moja maridhawa saaana. Mkasa mzima huo hapo chini;

Waz
Picha ya pili haionekani vyema,, Hebu iingize upya..
 
Aisee,
Kuwasiliana na demu kwa google translate mpaka kufikia kula mzigo si mchezo. Ila inawezekana
 
Australia,
Italy,
Brazil,
Timor Leste
Kenya,
South Africa
Mozambique,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…