Tuliowahi kuagizwa Mzazi shuleni tukaleta wazazi feki tukutane hapa.

Tuliowahi kuagizwa Mzazi shuleni tukaleta wazazi feki tukutane hapa.

Nililikodi jamaa moja, basi kesi ikawa imeishia kuwa linichape mbele ya wanafunzi lilinichapa kweli kuliko hata ambavyo angenichapa mshua nilichukia sana nikagoma hata kulipa buku 10.
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Nakumbuka kumpeleka fundi saa kufika shule akasahau jina langu... Dah... Nilikiona cha moto
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Nilipata kesi ya kumtongoza mwalimu, nikapewa adhabu na barua kuwa jumatatu nije na mzazi wangu, nikaenda kumpanga mama mmoja tukaenda naye kwenye staff ya waalimu, kumbe yule mama ni dada yake na yule mwalimu niliyemtongozaga, kilichofuata sasa..... [emoji85] [emoji23]
 
Nilipata kesi ya kumtongoza mwalimu, nikapewa adhabu na barua kuwa jumatatu nije na mzazi wangu, nikaenda kumpanga mama mmoja tukaenda naye kwenye staff ya waalimu, kumbe yule mama ni dada yake na yule mwalimu niliyemtongozaga, kilichofuata sasa..... [emoji85] [emoji23]
Mkuu hiyo story umetunfa bhana!! Staki kuamini aisee
 
Nina stori kuhusu hiyo nikiwa nasoma sekondari O level Shaaban Robert!

Nilizinguana na mwalimu mmoja wa History alikuwa anaitwa Santa Maria.

Ila nilienda na baba. Baba kweli na si baba feki.
 
Sijawahi fanya ivyo..kesi zangu nilikua nazimaliza mwenyewe
 
Nilimpeleka mama mmoja wa kichaga, nilimpanga fresh jinsi ya kuongea shuleni na hela nilimlipa na nauli ya kurudi town nilimpa. Tulivyofika shule wee, alinisema na kunitolea maneno makali sana yaani kiasi kwamba mwalim mkuu akampa fimbo anichape. Nilimkata jicho la hatari mpaka akaona aibu akamwambia mwalim mkuu muadhibuni tu huyu ili asirudie tena, tena mpeni adhabu kali kabisa... Nilikasirika sana, yaani badala ya kunitetea yeye ameendelea kunikandamiza wakati nilimlipa.
 
Kuna dogo mmoja alikuwa anasoma makongo hapo miaka ya 2000 sasa kulikuwa na mwalim mmoja tall mkorof mjeda sasa cjui dogo kafanya kosa gan akaambiwa akamlete mzazi akaja mwenge pale akaelewana na mzee mmoja dalali aje nae shule sasa kufika yule mzee c kasahau jina la dogo ebwanae wanajeshi wamemstukia yule mzee adhabu aliyopata ilibid akalazwe lugalo.
 
nikiwa musoma tec nilienda disco usiku, nilipoagizwa mzazi nikaenda mjini nikamchukua fundi viatu, ikafika muda akanichapa fimbo2 tu nikamkaba mbele ya walimu nikampiga ngumi kibao nikiwambia kwani wewe ni baba wacha walimu wanigeuzie kibao nilichapwa hadi raha
 
Njoss pale kulikua kuna boya moja linaitwa mbedule jeusi. Kama kwapa
Nilikodi mmama wa kinyakyusa kufika pale ofisini alilia kama kichaa,,walimu wakabaki wanamtuliza maza feki
[emoji23] [emoji23] Mkuu una utani na mchungaji wewee.. Na ile style yake ya kuongea kama ana vuta kitu.. Jamaa ana kuadhibu huku ana cheka.. Ukachimbe visiki siku 7.. Sahv ni HM shule za kule
 
Njoss pale kulikua kuna boya moja linaitwa mbedule jeusi. Kama kwapa
Nilikodi mmama wa kinyakyusa kufika pale ofisini alilia kama kichaa,,walimu wakabaki wanamtuliza maza feki
Hahahaha,mchungaji mbedule,,ndangarasi
 
Kuna jamaa mmoja yeye alimpeleka shule muhudumu wa bar awe kama mama yake mdogo baada ya kutakiwa kumuita mzazi. Huyo mwanamke mwenyewe alikua kajichubua balaa! Walimu wakashtukia issue kisha wakawatenganisha vyumba na kuanza kuwauliza maswali kuhusu watu wa familia yao. Ilipobainika wamedanganya yule Bar Maid akapewa options mbili, ama apelekwe polisi au acharazwe bakora, hahahahaaa mama wa watu ikabidi achague kukinga matako akalambwa mboko sita safi kabisa kisha akaachiwa aende zake huku analia kwa sauti
Mkuu umenichekesha kuliko kawaida
 
Njoss pale kulikua kuna boya moja linaitwa mbedule jeusi. Kama kwapa
Nilikodi mmama wa kinyakyusa kufika pale ofisini alilia kama kichaa,,walimu wakabaki wanamtuliza maza feki
Duuh wew nshakukukumbuka na mzazi wako uyo

Enzi mbedule n mtata anatumia biblia kutoa adhabu
 
Hahahah huu Uzi nimekumbuka mbali nimecheka sana,Mimi nilimpeleka mzazi fake mjeda,alikua ananitumaga sana kwa mchepuko wake,nikaona uyo uyo atanifaa,akavaa gwanda alikua na nyota mbili kauzu vibaya mno ,alivyofika ata walimu kuangalia ile sura ya kazi tu kueleza kosa langu lenyewe ilikua kazi,wakaanza kwa kusifia nimepata 1 mock.badae ndo mwalimu mmoja akaeleza kosa,yule mjeda akanidaka shingo kwa nyuma akasema uyu cha moto Leo atakiona ,ataenda kulala ndani ya maji siku tatu,akanitoa kwa nguvu ,utasema anaenda kuua mtu,,tulivyotoka nje ya geti tu akaanza kucheka akaniambia twende ukale bia,,hahah
 
Katika maisha yangu yote sikuwahi fanya hivyo(kuanzia primary-----),licha ya kwamba darasa la tatu na nne viboko vilikuwa vinapigwa balaa ila kwa nia ya kutusaidia kuelewa tebo na kiingereza apa wazazi pia walikuwa wakiitwa ,walosoma BISUMWA PRIMARY-musoma vijijini Miaka ya 90 watakuwa wanaelewa hili.
 
Back
Top Bottom