[emoji2] [emoji2] [emoji2]Nililikodi jamaa moja, basi kesi ikawa imeishia kuwa linichape mbele ya wanafunzi lilinichapa kweli kuliko hata ambavyo angenichapa mshua nilichukia sana nikagoma hata kulipa buku 10.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nakumbuka kumpeleka fundi saa kufika shule akasahau jina langu... Dah... Nilikiona cha moto
Mkuu hiyo story umetunfa bhana!! Staki kuamini aiseeNilipata kesi ya kumtongoza mwalimu, nikapewa adhabu na barua kuwa jumatatu nije na mzazi wangu, nikaenda kumpanga mama mmoja tukaenda naye kwenye staff ya waalimu, kumbe yule mama ni dada yake na yule mwalimu niliyemtongozaga, kilichofuata sasa..... [emoji85] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] Mkuu una utani na mchungaji wewee.. Na ile style yake ya kuongea kama ana vuta kitu.. Jamaa ana kuadhibu huku ana cheka.. Ukachimbe visiki siku 7.. Sahv ni HM shule za kuleNjoss pale kulikua kuna boya moja linaitwa mbedule jeusi. Kama kwapa
Nilikodi mmama wa kinyakyusa kufika pale ofisini alilia kama kichaa,,walimu wakabaki wanamtuliza maza feki
Hahahaha,mchungaji mbedule,,ndangarasiNjoss pale kulikua kuna boya moja linaitwa mbedule jeusi. Kama kwapa
Nilikodi mmama wa kinyakyusa kufika pale ofisini alilia kama kichaa,,walimu wakabaki wanamtuliza maza feki
Mkuu umenichekesha kuliko kawaidaKuna jamaa mmoja yeye alimpeleka shule muhudumu wa bar awe kama mama yake mdogo baada ya kutakiwa kumuita mzazi. Huyo mwanamke mwenyewe alikua kajichubua balaa! Walimu wakashtukia issue kisha wakawatenganisha vyumba na kuanza kuwauliza maswali kuhusu watu wa familia yao. Ilipobainika wamedanganya yule Bar Maid akapewa options mbili, ama apelekwe polisi au acharazwe bakora, hahahahaaa mama wa watu ikabidi achague kukinga matako akalambwa mboko sita safi kabisa kisha akaachiwa aende zake huku analia kwa sauti
[emoji2] [emoji2]Mimi nimeishia darasa la 3, baada ya kugundua ada inayo lipwa shuleni ni kubwa sana nikaamua kudrop out class 3...
Duuh wew nshakukukumbuka na mzazi wako uyoNjoss pale kulikua kuna boya moja linaitwa mbedule jeusi. Kama kwapa
Nilikodi mmama wa kinyakyusa kufika pale ofisini alilia kama kichaa,,walimu wakabaki wanamtuliza maza feki
Mwaka ganiHahahah mi nakumbuka ilikuwa Loyola nikamuokota MTU sema hakuzingua, 5000 ikanisaidia