Tuliowahi kudate na waume za watu tukutane hapa tusimuliane visa tulivyowahi kukutana navyo

Tuliowahi kudate na waume za watu tukutane hapa tusimuliane visa tulivyowahi kukutana navyo

Mwaka fulani huko nyuma, kama matani hivi kuna mwanaume mmoja alianza kunitongoza lakini nikawa namkatalia kwa sababu mbili

1,Alikuwa na mke na familia yake
2,Alinizidi umri kwa mbali mnoo kama 25 hivi

Kwa kuwa wanaume hawachoki alinishawishi kwa zawadi mbalimbali mpaka nikajikuta namkubali na safari ya mahusiano ikaanza

Nilikuwa namfahamu mke wake kwa akili zangu ndogo nikawa nataka nianze urafiki na mke wake.

But nikaomba ushauri kwa shost yangu kuhusu hilo ila alionya ila nikajikuta yule mke mwenzangu akawa kama vile anaanza kunichangamkia nami nikamkaribisha kumbe akawa ananipeleleza bila kujua

Nikajikuta penzi linakolea hadi nikajitambulisha kwa mke wake kuwa mimi ni mke mwenzako, si akaanza ugomvi na matusi kuwa alikuwa anajua ila alitaka kupata uhakika.

Akanipeleka kwa mtendaji kunishtaki kuwa natembea na mume wake, nisipoachana atanichoma visu,

Mtendaji alikuwa mwanamama akanambia binti si ungetafuta tu wa kwako mbona vijana wengi, kwa nini unabeba dhambi nzito ya kuvuruga ndoa za watu, achana naye, utarogwa bure na utarushiwa vipande.

Kuanzia siku hiyo niliachana na mambo ya mume wa mtu, bora tumalizane huko kuliko kunambia atanioa.
Mzoefu sana ww
 
Mmh! sitokaa nimsahau yule Mjeshi (Ni kijana mkakamavu mwenye Pumzi yakutosha kuhudumia Mke wake na mm) pale Kawe.
Dah! Aisee hataree sana ila huwez Amin last weeky alinidinya kwenye Crown yake tulipak somewhere huju Ac inapuliza.
Gari ni Tinted plate number................
Hongera sana
 
Back
Top Bottom