UNDENIABLE
JF-Expert Member
- Feb 26, 2013
- 2,326
- 1,316
Hahahaha let share hayo maujanja bob. Wengine hatujui badoDaaaa, mi naishukuru sana JF, kwa mengi. Lakini nitakuwa sina shukrani, kwa kutokutaja naifaidije simu yangu, kwa kuangalia mpira wa miguu ligi mbali mbali za Dunia hii, hii yote ni kutokana na upendo wa wana JF kuwagawia wengine ujuzi walionao!
Ki-ukweli, nilikuwa sijui kama unaweza kuangalia kama tv ligi mbalimbali kwa kutumia simu! Ahsante saaaana!
Sio case momy.Hongera
Umelipia kwa Jose ama umepinduka tu kibabe?Siti ya kwanza.... Jf kwangu ni zaidi ya Google.
Daaaa, mi naishukuru sana JF, kwa mengi. Lakini nitakuwa sina shukrani, kwa kutokutaja naifaidije simu yangu, kwa kuangalia mpira wa miguu ligi mbali mbali za Dunia hii, hii yote ni kutokana na upendo wa wana JF kuwagawia wengine ujuzi walionao!
Ki-ukweli, nilikuwa sijui kama unaweza kuangalia kama tv ligi mbalimbali kwa kutumia simu! Ahsante saaaana!
Oya mkuu nielekeze na Mimi mzee sijui kuangalia online matchDaaaa, mi naishukuru sana JF, kwa mengi. Lakini nitakuwa sina shukrani, kwa kutokutaja naifaidije simu yangu, kwa kuangalia mpira wa miguu ligi mbali mbali za Dunia hii, hii yote ni kutokana na upendo wa wana JF kuwagawia wengine ujuzi walionao!
Ki-ukweli, nilikuwa sijui kama unaweza kuangalia kama tv ligi mbalimbali kwa kutumia simu! Ahsante saaaana!
Achana na mastori na ma elimu ya JF ambayo kwangu haina kipimo japo siku hizi dah JF ya sasa sio ile ya kwetu. Hafu mods wa sasa ama invisible wa sasa sio yule wa kipindi kile. Halooooo wana mapoz sio za nchi hii. Hata pm hawajibu damn!
Enewei kwa kuanza tu. Niliwahi piga 2,100,000 ela ya madafu. Kuna bi mdash mmoja kanipa tenda kwenye eneo langu la profeshen. Sikumuangusha. Nikapiga huo mpunga. Iliniokoa sana maana nilikuwa astoro mbaya. Dah hapo ndo huwa JF naionaga ina maana sana kwangu.
Lkn kama haitoshi. Nilipiga demu wa JF (hahahaha sio jambo jema kujivunia. Enewei hapa ni chit chat don't take it serious ila nilipiga).
Hakuwa na mkia kihiiiivyo ila nyamanyama nn sio haba ambapo ndo huwa pumzi yangu inayumba. So alinitunuku tu naweza kusema alinizidi miaka ila haikuwa ishu nilitetea ukoo ipasavyo. Tulipoteana mikoa mbalimbali.
Karibuni tupige stori zetu.
Acha m akuznitarudi baadae
Aaaah!Hahahaha let share hayo maujanja bob. Wengine hatujui bado
Jf itakuaje kampan yako usk embu oa harakaNimefahamiana na watu wengi na wengine mpk tumefanya shughuli za kutuingizia kipato..jf huwa inanipa kampani haswa usiku napokuwa cna usingizi
Jf itakuaje kampan yako usk embu oa haraka
Sasa je unanionaga usiku maeneo haya?Ww umeolewa?!