Tuliowahi kufaidika na uwepo wa JF tukutane hapa tupige stori !

Mm niliingia humu 2015 lakin nimehamia kabisa baada ya kutimuliwa fb, nimegundua huku ni zaidi ya hata Twitter, sijaona seem ya kutulia kama huku, shobo hakuna, ujinga hakuna, huku watu wapo serius kwel na mambo, co umbeya au kutaka likes kama insta.
Hongereni JF.
 
Jf imenifundisha vingi sanaaa Sana'a sio siri
Michango ya watu humu wenye upeo mkubwa wa kuchangia mada mbali mbali imenipa kiasi Fulani kuelewa baadhi ya mambo
Pasipo kusahau vichekesho maana bwana mtu anaweza kukujibu badala ya kununa inakubidi ucheke tu
 
Hujapata mchumba humu?!
 
Imenifunza mengi haswa haswa kuwa na nidham mtandaon maana BAN nyingi zmenitembelea na nimefanya biashara nyingi!Ashukuriwe aliyeanzisha JF
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…