Tuliowahi kufaidika na uwepo wa JF tukutane hapa tupige stori !

UNDENIABLE

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2013
Posts
2,326
Reaction score
1,314
Achana na mastori na ma elimu ya JF ambayo kwangu haina kipimo japo siku hizi dah JF ya sasa sio ile ya kwetu. Hafu mods wa sasa ama invisible wa sasa sio yule wa kipindi kile. Halooooo wana mapoz sio za nchi hii. Hata pm hawajibu damn!

Enewei kwa kuanza tu. Niliwahi piga 2,100,000 ela ya madafu. Kuna bi mdash mmoja kanipa tenda kwenye eneo langu la profeshen. Sikumuangusha. Nikapiga huo mpunga. Iliniokoa sana maana nilikuwa astoro mbaya. Dah hapo ndo huwa JF naionaga ina maana sana kwangu.

Lkn kama haitoshi. Nilipiga demu wa JF (hahahaha sio jambo jema kujivunia. Enewei hapa ni chit chat don't take it serious ila nilipiga).

Hakuwa na mkia kihiiiivyo ila nyamanyama nn sio haba ambapo ndo huwa pumzi yangu inayumba. So alinitunuku tu naweza kusema alinizidi miaka ila haikuwa ishu nilitetea ukoo ipasavyo. Tulipoteana mikoa mbalimbali.

Karibuni tupige stori zetu.
 
Daaaa, mi naishukuru sana JF, kwa mengi. Lakini nitakuwa sina shukrani, kwa kutokutaja naifaidije simu yangu, kwa kuangalia mpira wa miguu ligi mbali mbali za Dunia hii, hii yote ni kutokana na upendo wa wana JF kuwagawia wengine ujuzi walionao!
Ki-ukweli, nilikuwa sijui kama unaweza kuangalia kama tv ligi mbalimbali kwa kutumia simu! Ahsante saaaana!
 
Hahahaha let share hayo maujanja bob. Wengine hatujui bado
 
Oya mkuu nielekeze na Mimi mzee sijui kuangalia online match
 
Achana na mastori na ma elimu ya JF ambayo kwangu haina kipimo japo siku hizi dah JF ya sasa sio ile ya kwetu. Hafu mods wa sasa ama invisible wa sasa sio yule wa kipindi kile. Halooooo wana mapoz sio za nchi hii. Hata pm hawajibu damn!

Enewei kwa kuanza tu. Niliwahi piga 2,100,000 ela ya madafu. Kuna bi mdash mmoja kanipa tenda kwenye eneo langu la profeshen. Sikumuangusha. Nikapiga huo mpunga. Iliniokoa sana maana nilikuwa astoro mbaya. Dah hapo ndo huwa JF naionaga ina maana sana kwangu.

Lkn kama haitoshi. Nilipiga demu wa JF (hahahaha sio jambo jema kujivunia. Enewei hapa ni chit chat don't take it serious ila nilipiga).

Hakuwa na mkia kihiiiivyo ila nyamanyama nn sio haba ambapo ndo huwa pumzi yangu inayumba. So alinitunuku tu naweza kusema alinizidi miaka ila haikuwa ishu nilitetea ukoo ipasavyo. Tulipoteana mikoa mbalimbali.

Karibuni tupige stori zetu.

nitarudi baadae
 
humu deal ni nyingi, muhimu uwe mwaminifu tuu, niliowah kufanya nao kazi humu ni mashahidi, mtu anakupa dili we upo mwanzo wa nchi na yeye yupo mwisho wa nchi na mambo yanaenda kama kawaida
 
Nimefahamiana na watu wengi na wengine mpk tumefanya shughuli za kutuingizia kipato..jf huwa inanipa kampani haswa usiku napokuwa cna usingizi
 
Jf itakuaje kampan yako usk embu oa haraka
 
Kimsingi mimi kipekee nimefunguka kimawazo na nimepata ufahamu wa vitu vingi na kujua maisha ya watu na jinsi ya kuishi na watu.Kipekee zaidi nimeweza kuanzisha mradi baada ya kupitia thread nyingi na kuelewa changamoto na fursa zilizomo huku.Mungu awajalie wote upendo na amani.Ukweli elimu ya JF ni zaidi ya elimu kuna nyuzi huwa nazirudia mara nyingi nakujifunza mengi na kufanya maisha yawe ya amani.
 
Nazidi kua chizi labda niache kusoma baadhi ya nyuzi
 
Back
Top Bottom