Tuliowahi kufall in love na celebrities tukutane hapa

Lavit

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2011
Posts
14,834
Reaction score
32,522
Wadau kuna muda unajikuta uko mapenzini kabisa na hawa watu maarufu, iwe kwenye burudani siasa au michezo.
Inafika muda huli hulali unamuwaza yeye, kutwa kucha unashinda kwenye page zake za mitandao ya kijamii angalau uone sura yake! Simu nayo muda mwingine unakuta inajaa mapicha yake na pengine kuweka hata wallpaper!


Inafika muda hata ukisikia anatoka na fulani, au kamwagwa unakaa unamind kabisa!

Kwangu sijawahi kutoka mapenzini na Jordin Sparks, kuna musa natamani hata kusms fb ila najiuliza ataanzia wapi kujibu, hata akijibu nitaongea naye nini? Hata kipindi ameachana na Jason nilimmind sana jamaa, kwamba anaanzaje kumuacha mwanamke kama yule!??

Je kwako umewahi kuzama mapenzini na mtu gani maarufu? Iwe hapa nyumbani hata nje ya nchi!

Wale wazee wa picha subirini zinakuja!!!





 
Napita kimya kimya kama sijaona huu Uzi, nitacomment. Mwisho.
 
Hebu ngoja waje tuwasikie..hata hivyo tuko pamoja mwenyekiti,naunga mkono hoja.
 
Money pesa fedha mtonyo


Unaninyima usingz balaa

In short am fallen in love to money
 
Aisee enzi hizo ilikua marehemu Kanumba
Umbo lile,rangi yake na usmart daaah R.I.P
 
Hakuna mrembo aliefall in love na mimi huku?au kwa kua sio maarufu.he he hee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…