Tuliowahi kufall in love na celebrities tukutane hapa

Eeebhana
This black beauty is killing me
 
Attachments

  • IMG-20171021-WA0017.jpg
    IMG-20171021-WA0017.jpg
    25.2 KB · Views: 63
  • IMG-20171021-WA0017.jpg
    IMG-20171021-WA0017.jpg
    25.2 KB · Views: 44
Masogange nilishafanyaga jitihada kadhaa za kupata namba nikafanikiwa bado kumuomba.......na mbele kuna manzi anaitwa Teyana Taylor!!!
 
Aliyeimba chorus ya wimbo wa wiz khalifa wa SEE YOU AGAIN Kila siku namuota ananijia anasema nakupenda ww jaman sili silali nakonda mwenzenu msaada mweny namb zake za simu nipo tyr ata Sasa kukwea pipa
 
Hahahahahahaaa pole
 
Anaitwa Charlie Puth
Kazaliwa Dec 2 1991

f458be43ae123a0a4e6c8a05c0845dd9.jpg
 
Kuna mwanamama anaitwa Tiwa savage! Dah! Ngoja nitafute pesa! Ipo siku ntashuka pale Lagos nitimize azma yangu!
 
Back
Top Bottom