Hahahahahahaaa poleAliyeimba chorus ya wimbo wa wiz khalifa wa SEE YOU AGAIN Kila siku namuota ananijia anasema nakupenda ww jaman sili silali nakonda mwenzenu msaada mweny namb zake za simu nipo tyr ata Sasa kukwea pipa
Anaitwa Charlie PuthAliyeimba chorus ya wimbo wa wiz khalifa wa SEE YOU AGAIN Kila siku namuota ananijia anasema nakupenda ww jaman sili silali nakonda mwenzenu msaada mweny namb zake za simu nipo tyr ata Sasa kukwea pipa
Uwiiiii ugonjwa wangu mimi uo jomoni acheeeAnaitwa Charlie Puth
Kazaliwa Dec 2 1991