Tuliowahi kufamaniwa na mke wa mtu halafu tukampiga mwenye mke tukutane hapa

Tuliowahi kufamaniwa na mke wa mtu halafu tukampiga mwenye mke tukutane hapa

Applicant

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2020
Posts
1,962
Reaction score
1,751
Nakumbuka mnamo mwaka 2012 nilikua zangu pande za keko ilikua ni kipindi cha pasaka, basi kuna dada mmoja hivi alikua anauza mgahawa tulikua tushapanga miadi tukutane gest iko maeneo ya tameko( mbele kidogo ya keko kama unaenda taifa), nadhani hiyo siku nilikamatwa kirahisi maana nilimpeleka mwanamke guest house karibu na anapokaa.

Nikampeleka gest,basi baada ya story kidogo nikaenda kuchukua Condom kwa muhudumu, nikarejea nikapiga show moja kali sana, baada ya mzunguko wa kwanza nikatulia kidogo nikichuruzika jasho.

Haamaaad! Mlangoni Ngo! ngo! ngo! Nikajua labda ni muhudumu kuna kitu anataka maana pale kitandani sikuona Taulo nikajua ndio atakua ameileta.

Aiseee! Kufungua tuu kitasa huyo mwambaa akaingia moja kwa moja na mlango, kwanza akatulia anamuangalia mkewake yuko uchi haamini, wakati huo nimevaa zangu boxer, yule mwanamke analia kwa kwikwi "nisamehe mme wangu! "

Nikashangaa jamaa kajiamini nini kaja mwenyewe, kanyata na hamna anaejua hata muhudumu hajashtukia mchongo, basi jamaa akanipiga bonge la kofi pwaaaa!!!!! "we ms*nge leo nakuf*r@ yaani unatembea na mke wangu??! " nikaona hapa kimenuka ni kujitetea tuu, kulikua na chupa ya bia pale ndani, nikaivuta nikaipasulia kichwani kwa yule jamaa yani kama naua mbwaa! Jamaaa chaliiiiii! Yule mwanamke anakuja kumtetea mmewake nae nikamsukuma huko nikaokota nguo zangu na sendo fasta nikatoka nazo nikaenda choo cha nnje, nikavaa nikatinga na sendo zangu! Pale chooni kulikua na ukuta nikaruka nikatokea nyuma ya gest huko nikaondoka zangu nikaita bodaboda kwanza nikamwambia boda boda nipeleke chanika wakati hata sipajui huko chanika, yaani siwezi kusahau hiyo siku.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naskia Mkuu wa nchi kapimwa joto kabla ya kukutana na mawaziri.
Corona,headache
 
😂😂😂 huu sasa uzembe, ingekuwa mm ningekuja na watu kama saba ili nikuonyeshe uchungu wa mahari.
 
Ngoja kwanza, hela yangu unalipa au haulipi?
 
Jamaa yangu wa karibu sana alifumaniwa na mke wa mtu, alichezea kichapo kitakatifu mpaka ikabidi alazwe! Iringa hiyooo nakumbuka ni kule Bwawani Kihesa, Kilolo 😂😂😂

Mambo ya kufaniwa yasikie tu kwa wenzio! Siyo ushujaa kabisa kutembea na mke wa mtu 😂😂😂
 
Jamaa yangu wa karibu sana alifumaniwa na mke wa mtu, alichezea kichapo kitakatifu mpaka ikabidi alazwe! Iringa hiyooo nakumbuka ni kule Bwawani Kihesa, Kilolo [emoji23][emoji23][emoji23]

Mambo ya kufaniwa yasikie tu kwa wenzio! Siyo ushujaa kabisa kutembea na mke wa mtu [emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahahaa aise noma sana usiombe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo na yeye hakuja kufumania,alikuja kukupa pongezi za kimtindo,
 
ivi ni wewe ulieua siku ile pale temeke...aisee unatafutwa...ukipatikana nakuhakikishia wezele litapakwa mafuta tu
 
Back
Top Bottom