nyakubonga
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 5,960
- 9,978
Kwahiyo tusimwamini Jiwe ambae alikua na taarifa nyingi za Mwere, tukuamini wewe unaekisia magonjwa kwa watu.Mtazamo wangu maana daily alikuwa anamsema anatumiwa na mabeberu, that's sadist behavior.
Kwanza kwanini umwamini binadamu mwenzako na hisia badala ya kumwamini mtaalamu wa hayo Mambo ka ni ya afya na mwele alifanya utafiti kabisa.Kwahiyo tusimwamini Jiwe ambae alikua na taarifa nyingi za Mwere, tukuamini wewe unaekisia magonjwa kwa watu.
Hao wagonjwa wa ZIKA aliowafanyia utafiti umewahi kuwaona?Kwanza kwanini umwamini binadamu mwenzako na hisia badala ya kumwamini mtaalamu wa hayo Mambo ka ni ya afya na mwele alifanya utafiti kabisa.
Dah Yani mfano wa Jambo ndo ume pick ka point ya kujilinda, na unakuja kushambulia watu na experience zao, wewe sio matured something is wrong in ur head.Blah blah blah
Your numbers simply don't add up....
Lies tupu...wala sio nguo..kuna tabia zingine hawazipendi ndio maana wapo mean na not friendly to you...
Check yo'self up before you wreck yo'self
Uliambiwa vilikua vimelea tahadhari zichukuliwe Sasa washamba mkakimbilia kulaumu mabeberu, na utafiti hupigwa kwa utafiti sio hisia.Hao wagonjwa wa ZIKA aliowafanyia utafiti umewahi kuwaona?
Vile vimelea viliishia wapi, au aliondoka navyo baada ya kuondolewa?Uliambiwa vilikua vimelea tahadhari zichukuliwe Sasa washamba mkakimbilia kulaumu mabeberu, na utafiti hupigwa kwa utafiti sio hisia.
Una matatizo wewe mengi Sana, report huwa siandiki na usinipangie Cha kuandika humu JF. Na naandika kusudi maana ni Mimi wewe baki na msimamo wako na nitazidi kuruka ruka nitakavyo na kuandika ninachojiskia usinipangie kabisa, hizo dictions waziona wewe pyeeeeeHivi unasoma dictions ya unachoandika kweli?
Hivi reports za kazini unaandikaje wewe Cariha kama uandishi wako ndio wa kurukaruka namna hii aisee?
Ndio maana hata unafukuzwa fukuzwa kazi!
Experience ya kuonewa wivu na watu wa kampuni nzima eti sababu umevaa "nguo" kali?
Like really?
Hizi conflicts between wewe na watu ambao I'm sure hata hawakufatilii in your own brain na kupata conclusions in your own brain eti wanakuonea wivu ni aina fulani ya kichaa...
Nenda kapate counseling wewe!
Ule ulikuwa utafiti na nyie mngepinga huo utafiti sio kukomoana tu Tena baada ya ummy kumgeuka mwenzake Tena wakati akitangaza walikuwa wote.Vile vimelea viliishia wapi, au aliondoka navyo baada ya kuondolewa?
So hisia zako zimekwambia tena mimi mshamba japo hunijui?
Kwahiyo Jiwe alifanya maamuzi bila kushauliwa na wataalamu wa afya?Ule ulikuwa utafiti na nyie mngepinga huo utafiti sio kukomoana tu Tena baada ya ummy kumgeuka mwenzake Tena wakati akitangaza walikuwa wote.
Wewe awamu iliyopita utaalamu haukuwa kipaumbele hata huyo ummy alikuwa ana linda cheo chake, Mambo mengi tu hata katiba haikuheshimiwa na mabeberu wakasingiziwa bure.Kwahiyo Jiwe alifanya maamuzi bila kushauliwa na wataalamu wa afya?
Huhisi Ummy aligundua mapema kwamba Mwere amekua compromised, so akamshauli Jiwe vinginevyo!
Au unaamini Mwere alifanya utafiti peke yake?
Sielewi unaandika Nini wallah, nimekwambia report siandiki hata kuandika email sijui hata kuweka attachments sifahamu, kusalimia pia sifahamu na sijawahi kukutana na key stakeholders, haya Sasa moyo wako umekuwa satisfied na wewe mjua kila jambo humu jf.!?Report huandiki,unaandikiwa?
Hujui kuandika
Hata kama ni CEO,reports za kwenda nazo kwenye bodi unaandikaje kama uandishi wako ni wa bata namna hii?
Achana na bodi,mbali sana huko,emails za biashara unaandikaje wewe mamalia mwenzangu?
Au pia huandiki?
Therefore what the fvck are you doing in this world?
Unawasiliana vipi na wanadamu wenzako professionally?
You are tiktoking bwana
Kwenye maisha yangu nilishajiambia sitakuja kuajiriwa lakini kuna mwaka ilikuwa kila nitakaloshika linagoma. Basi nikaona isiwe kesi ngoja niombe ajira nijishikize kwa muda. Nikapata mshahara laki 3 kwa mwezi. Nakumbuka ule mwezi nilipiga kazi vizuri bila longolongo. Zile tarehe za mshahara zimefika nikaona watu wote wamelipwa ila mimi hakuna kitu. Nikamfuata mhasibu kuuliza vipi? Akajibu jina lako halipo kwenye orodha ya walipwaji. Yule boss alisema nisilipwe. Nilisikitika sana nikakabidhi vitu vyote vya ofisi kwa wahusika nikaacha kazi bila kudai chochote. Baada ya hapo sikuwahi kuomba ajira wala kuajiriwa tena.
Unakuta mtu anafurahia mwenzake anapopata mateso.. Mimi nilishawahi kufukuzwa ili baada ya miezi kadhaa nilitudi.Makazini huwa Kuna watu Wana roho mbaya Sana bila sababu
MhhhhhhhhUnaona sasa,hutachelewa kuniita sexist
Utalalamika napingana na wewe makusudi sababu "you are a woman".....Hahahaaaa
Nowdays msha-weponize ubishani,haupo tena!
Identity politics!
Haya Cariha
We binti una sonona, hivi unaweza kuendesha nchi bila wataalamuWewe awamu iliyopita utaalamu haukuwa kipaumbele hata huyo ummy alikuwa ana linda cheo chake, Mambo mengi tu hata katiba haikuheshimiwa na mabeberu wakasingiziwa bure.
Watu hao wapo kabisa tukiandika humu waja wasema twaandika uongo. Mtaani tu mtu akipata majanga watu wanafurahiaUnakuta mtu anafurahia mwenzake anapopata mateso.. Mimi nilishawahi kufukuzwa ili baada ya miezi kadhaa nilitudi.
[emoji28] [emoji28] Ukijiamini bosi hakusumbuiBinafsi hadi nineisha zoea private nikifanya kazi najua kufukuzwa ni muda wowote tu.
Cha kwanza sinaga kumuogopa mtu awe boss awe nani yani hii hali inaniponza sometimes siwezi kunyenyekea..
Kazi za hospitali kupiga madili huwa kupo tu mala moja moja
Nimefanya kazi Zahanati nyingi sana sitoboi hata nusu mwaka nisha fukuzwa.
Ila nilipofukuzwa mala ya mwisho ndio inachekesha na kutia simanzi.
Nesi mmoja alikua ni mke wa mtu akawa ananitaka, shobo shobo kibao, mala akija job aseme amenimiss na kutaka kunikiss juu, mwamba nagoma.
Bwana hee nikapokeaga elfu 30 ya mgonjwa nikaichapa juu kwa juu.
Huyo nurse akajua, alinichoma kwa bosi live bila chenga.
Kilichoniuma sio kufukuzwa kazi, yani ni kuchomewa na demu ambae nilikua na uwezo wa kumla/ kuchapa mashine na tukashirikiana vizuri kila sector
Umenifungua akili hapa.Pole sana. Ila watu wengi sana wanaonewa makazini na kufukuzwa kazi au kuresign kwa sababu tu hawajui haki zao kama wafanyakazi.
Kama hapo wewe ulichotakiwa kufanya ni usinge resign, usubiri jamaa wakufukuze kwa kosa hilo moja tu; Ungewaendesha sana iwapo baada ya wao kukufukuza ungeenda kwenye vyombo vya utetezi kama tume ya usuluhishi wa migogoro sehemu za kazi (CMA).
Maana mfanyakazi hafukuzwi kazi kirahisi hivyo, lazima kuwe na ushahid kwamba alishaonywa mara kadhaa, sio kosa lake la kwanza na mambo kama hayo, ukipeleka kesi kama hiyo kwa jamaa wa CMA hao waajiri wako wangekukoma; na wangeamuriwa kukulipa fidia ya kutosha tuu.
Tena kwa taasisi za binafsi ndo huwa CMA wanawakalia zaidi kooni. Ila ndo hivyo pia waru wengi hata hawawajui hao CMA.
But anyways, god for you kwamba you have moved on na maisha yameendelea! kiroka