Tuliowahi kujamba ushuzi mkali wa kunuka kwenye halaiki ya wa tukutane hapa

daaah hii kitu cha yusufu kilinikuta wakati mbaya tupo tunacheza dats kwa wanyakyusa huko ghafla tumbo likavurugwa baada ya kupiga smirnof na Zanzi. Mwanawane kiliniponyoka cha kimya kimya broo wangu mmoja Mnyaki nikamsikia anaguna kinyakyusa Mweeeeee "Muundu awolile" maana yake ' mtu kaoza'. hahahaaa ilikua hatari sana .
 
Hapo ulipiga kitu kinaitwa ..."ushuzi wa ngomani,mjambaji hajulikani"...Hapo ni full mtafutano huku mmeziba pua,mdomo na ikiwezekana macho maana unakuwa ushuzi mkali hadi macho yanawasha.
 
Story za kifara, unadhihirisha ni jinsi gani wewe ni msenge
 

[emoji1] [emoji1] [emoji1]

Gwe mundu gwa Kyara ugwe

Umenivunja mbavu aise.
 
Nina moments mbili za namna hii zishawahi nitokea ya kwanza ilikuwa kanisani wakuu kudadeki nikakisikia kinakuja baada ya usiku uliopita kufukia mazagazaga kibao nikajifanya nimeiva mpka nimeungulia nikakibana aiseee tumbo nikalisikia kabisa limekataa niliumwa na tumbo siku mbili mfululizo..
Ya pili ilikuwa 2013 pale msimbazi wakati wa kumuapisha Askofu Titus Mdoe. Huku kusinzia hadharani kuna hasara zake, nilipitiwa na kausingizi wakati wa mahubiri.
Daaaaahh[emoji17][emoji17] hamadii kushtuka mzigo nishaushusha [emoji100][emoji100]halaf viti ni vya plastiki ukitoa kituu kinavaibureti kama trekta.
Nilijikausha mpaka ibad inaisha na nyuma sikugeuka mpaka naondoka.
Sikuwahi mwambia mtu yeyote leo ndo mara ya kwanza wajameni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…