Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hii siku naikumbuka mkuu kumbe ni wewe haha
kwani wanyakyusa hatunyambi kakaMkuu umetudhalilisha sana wanyakyusa kwa ulafi Wa namna hiyo.
dah,noma sanaTeh teh blaza sikupenda nilisinzia kidgo ndo mnyambo ukatoka btw haikuwa ndani ni nje pale msimbazi so hata harufu haikusikika ni sauti tuu mzee baba[emoji16][emoji16]
Sent from my Y4 using JamiiForums mobile app
na wewe unayeharibu kiswahili,ni kuharibu siyo aribuHivi hawa wanao aribu kiswahili ni akina nani? KUJAMBA na sii KUNYAMBA
mkuu kujamba ni kawaida...kunyamba ni ule mjambo wa zaidiHivi hawa wanao aribu kiswahili ni akina nani? KUJAMBA na sii KUNYAMBA
Dah!Ilibakia kidogo uwe mpangaji wa Hussein (RIP) hapo Legezamwendo aka Magarimabovu.ila kwa sasa nauza viatu kitanzini iringa baada ya magu kukaza vyuma vyake..![]()
mtoa mada ni mkongo usijaliKujamba au kunyamba ?
[emoji1] [emoji1] [emoji3] eti harufu kama ya dampo.tena wanapenda sana maziwa ya mgando,maziwa ya mgando mtu akijamba yanakuwa na harufu kama ya dampo
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Kujamba ni ile ya kawaida ila kunyamba anakaribia kunya kabisa.
Aiseeeeh huu uzi umenifanya ninyambeeeeee[emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Mhhh mhhh
[emoji3][emoji3][emoji3]unanyanyua na mguu juuuHahah,ni vigum sana kukuta mdada anaongea kuhusu kunyamba,si unaona hakuna hata m1 ,ni marufuku kwao nahis,..
Ila mi x wangu m1 huyo alikuaga hatar,tukiwa room lakin tena anaachia mbele yangu..na ni mkali huwez amin,boonge la dem
Dada jaman sikujua Kama umepita huku jaman maana naogopa kusimuliaVumilia tu, hapa ni mchanganyiko, ukiwa JF lazima uwe na kaujuzi na maarifa kwenye ile kitu wanaita "DIVERSITY MANAGEMENT"
Kinanukaje?Aiseeeeh huu uzi umenifanya ninyambeeeeee[emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Mh mpaka nimejisikia vibayaaaKinanukaje?