Tuliowahi kujamba ushuzi mkali wa kunuka kwenye halaiki ya wa tukutane hapa

Tuliowahi kujamba ushuzi mkali wa kunuka kwenye halaiki ya wa tukutane hapa

[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Mkuu umetudhalilisha sana wanyakyusa kwa ulafi Wa namna hiyo.
 
Hivi hawa wanao aribu kiswahili ni akina nani? KUJAMBA na sii KUNYAMBA
 
ila kwa sasa nauza viatu kitanzini iringa baada ya magu kukaza vyuma vyake..
edd707eb8557af1c9083e65ba5f0c1c7.jpg
Dah!Ilibakia kidogo uwe mpangaji wa Hussein (RIP) hapo Legezamwendo aka Magarimabovu.
 
Hahah,ni vigum sana kukuta mdada anaongea kuhusu kunyamba,si unaona hakuna hata m1 ,ni marufuku kwao nahis,..
Ila mi x wangu m1 huyo alikuaga hatar,tukiwa room lakin tena anaachia mbele yangu..na ni mkali huwez amin,boonge la dem
[emoji3][emoji3][emoji3]unanyanyua na mguu juuu
 
Back
Top Bottom