Muzine
JF-Expert Member
- May 4, 2017
- 32,366
- 60,453
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]inaonekana Unapenda. KunyambaaaHahahahahaa!Kama umekula mayai ya bata lazima watu wavae masks!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]inaonekana Unapenda. KunyambaaaHahahahahaa!Kama umekula mayai ya bata lazima watu wavae masks!
Rudi nyuma usome comment uone nilivyonyambaaaawanawake wameuchuna kimyaa,wanajifanya huwa hawapumui
Kujitangaza unajamba jamba hizo dalili za mapungaDuh!Boss,hela hatuna.Hata utani tu tusifurahi!Siyo sahihi!
Ooohooo,usichukulie siriazi mambo ya utani mkuu.Kujitangaza unajamba jamba hizo dalili za mapunga
Hahahahaaa!Haifai kwa AFYA.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]inaonekana Unapenda. Kunyambaaa
hujui tu,kila unapopata haja ya kunyamba lazima unyambe,kinyumbe na hapo unatengeneza mlundikano wa gesi ukaa mwilini hali inayopelekea kupata sumuKuachia achia hewa hovyo ni dalili ya kulegea lakiri ya huko nyumanju
Thread gani hii kwa watu wazima,
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kituko kilikuwa katika maaliko bana
Tumejipinda hapo kwenye sinia za pilao kila sinia moja watu wa4 hadi wa5
Pembeni Mashehe wamo na vibaragashia vyao,nilikuwa na best wangu pale tunakula kwa bahati mbaya bana akauachie ule ufuzi uitwao”Yusssuuuufff”(Silencer)
Ebanae ile harufu ilipoanza kutoka kila mmoja macho kwetu,unajua bora ujambe sauti itoke hio huwa haitemi saana cheche kuliko ule wa kujamba kimyakimya,huo huwa ni noma kwa harufu[emoji3]
Ikabidi mimi nizugishe kuwaambia watoto walikua pembeni yetu na kasinia kao wanakula
Kwa ukali nikasema”NYINYI WATOTO MNAKOSA ADABU AU”
Huku macho ya watu yanatutazama sisi
Bana kakaibuka kazee kamoja na kibaragashia chake kakapayuka kwa nguvu na kusema
“NINI,,!!!!!USIWAZINGIZIE HAWA WATOTO MJAMBAJI NI HUYU HAPA”
Hako kazee kanaongea huku kanamsonta mshikaji kichwani[emoji3][emoji3]
Mamamamamama,!!!!nlishindwa kuvumilia nlipomcheki jamaa
yangu badala ya kujitetea ati anaangalia chini tu
Hapo nilicheka hadi kupaliwa na chakula[emoji3][emoji3]
Aseee hio sintoisahau
Kila nkifikria kale kazee bana kalivoinuka na kusimama watu wote tulikuwa tumekaa kwenye mikeka kanamsonta mshkaji kwa kidole huku vidole vingine vimeibana nyama kiaina[emoji3][emoji3]
kuna jamaa yangu alikuwa wa kuitwa gusi,basi yy alikuwa maarufu sababu ushuzi wake ulikuwa haubadiliki harufu hata anywe perfume,yaani ilikuwa akinyamba ushuzi wake kila mtu anajua ni gusi,afu alikuwa mbabe kinyama sasa ukisikia ufyuzi wa gusi ole wako ucheke,utakiona wakati wa kurudi shule...anakukata mitama balaa alafu ole ukasemelee shuleni au nyumbani,dah aisee kusema kitawanya kundi ndio umenikumbusha gusi...asa sababu mbabe ilikuwa akinyamba tu kila mtu anatawanyika kimyakimya....na hata hapo ilikuwa lazima akuchenjieUshuzi mkali shule ya msingi tulikuwa tunaita "kisambaza kundi ".
Kweli mkuu hii great thinkerThread gani hii kwa watu wazima,
HS rotten eggshahahhahahahaa mkuu ukaachia hewa ya ukaa
We koma mlafi pia nawewe siumechangiaNawewe unakula sana mkuu, Ngoja waje walafi wenzio
[emoji23] [emoji23] [emoji23] yekeleuwiiii hapo mwisho umeandika nnWanyakyusa walafi sana ukitaka upatane nae hata mama au baba mkwe wape vyakula tu tena vitamu vitamu na akirudi kwao utamwagiwa sifa na utegemee ugeni mkubwa sasa...
Fyosa fyangu!
Vyote vyangu[emoji23] [emoji23] [emoji23] yekeleuwiiii hapo mwisho umeandika nn
Nko zangu ndani ya EMIGRACE natoka manyara to DSM sina mbavu na huu uziWadau,leo nimeona nielezee kisa hiki kilichonikuta kwenye basi nikitoka mbeya/tukutu kwenda dsm.
picha linaanzia hapo natoka zangu nyumbani,ilikuwa safari yangu ya kwanza kuja dam kujiunga na chuo cha duce baada ya kumaliza masomo yangu ya advance.
kwakua sikua na wa kusafiri nae basi niliamua kusafiri mwenyewe baada ya kupewa maelezo ya kutosha na braza wa kijijini kwetu ambaye yeye alikuwa mwaka wa pili udsm.
basi bwana kama unavojua sisi wanyaki,siku moja kabla ya safari ulikuwa ni mkesha wa kuniaga,nyumbani kulifanyika mkusanyiko kidogo wa ndugu hasa wajomba na mshangazi,kila mmoja akaleta cha kuleta nyama za kuchoma,viazi vitamu na mviringo,maziwa freshi,maziwa mgando,unga wa ugali,mchele,maharagwe na kunde,pilipili n.k vitu vilipikwa mkesha ukakaliwa ukaisha.
usiku ule nilikula sana,nilivimbiwa kwa kifupi,sasa kimbembe kikawa asubuhi,ile saa kumi na mbili naamka mara tumbo likaanza kuvuruga kama utani,nikajua hapa tayari safari yangu imeingia mdudu,sababu najuaga nini kitatokea...basi bwana nikaenda chooni nakuta hola ila tumbo linanguruma as if kuna mtu anakoroga vitu kwa ndani.
muda wa kupanda gari letu kyela express ukafika,nikapanda kiujasiri japo bado tumbo linavuruga,nikiwa na akiba yangu ya viporo vya vyakula vya jana...nikafika uyole nikajiongezea akiba kidogo ya aepo na soda.
kwenda weeeee kufika mbele kuna mbaba huwa anauza kababu na kashata kwenye magari ya mbeya dsm ni maarufu sana,nikagonga kashata zangu na bagia,nikashushia na maziwa mgando,nikanywa soda ya spaleta baridi na epo zangu tatu,kufika makambako nikanywa maziwa yalikuwa kwenye kopo,nikashushia na maji...nikawa taratiiiibu nafikicha karanga narushia mdomoni kwa mbwembwe flani za kisela....
sijui nini kilitokea lakini nikahisi tukiwa maeneo ya misitu ya sao hill...tumbo ghafla lilijaaaa kama limejazwa upepo hivi,nikajua tu hapa leo siyo salama,mimi nikajinyanyua kidooogo ile kisailensa,nikapanua mguu mmoja katika style ambayo hakuna aliegundua..then nikaanza kuiachia ile hewa sasa ili itoke huku nikisikia uafadhali wa hali ya juu tumboni...
basi bwana,tukio lilidumu kwa muda kama wa dakika mbili hivi ile hewa inatoka tu,inatoka tu...baada ya sekunde kama kumi hivi nikaanza kuhisi utulivu wa watu kunizunguka unapungua,kuna mtoto mchanga alikuwa pembeni alipiga chafya moja kali sana,kali sana,basi wakaanza kufungua madirisha na kupeperusha magazeti hivi na vitabu,sasa ikawa ni basi zima wakahisi labda kuna kitu kimeoza.
muda ote huo mnyambala nawachora tu wanavohangaika na vitu vidogo tu hivi....
nasikia ule ushuzi ulikuwa na half life ya dakika 5 (kwa waliosoma radioactivity)
sasa wale waliowahi kufanya tendo hili la kishujaa kwenye halaiki waweke ushuhuda wao hapa ilikuwaje.....