Tuliowahi kujamba ushuzi mkali wa kunuka kwenye halaiki ya wa tukutane hapa

Kuachia achia hewa hovyo ni dalili ya kulegea lakiri ya huko nyumanju
hujui tu,kila unapopata haja ya kunyamba lazima unyambe,kinyumbe na hapo unatengeneza mlundikano wa gesi ukaa mwilini hali inayopelekea kupata sumu
 
Kituko kilikuwa katika maaliko bana
Tumejipinda hapo kwenye sinia za pilao kila sinia moja watu wa4 hadi wa5
Pembeni Mashehe wamo na vibaragashia vyao,nilikuwa na best wangu pale tunakula kwa bahati mbaya bana akauachie ule ufuzi uitwao”Yusssuuuufff”(Silencer)
Ebanae ile harufu ilipoanza kutoka kila mmoja macho kwetu,unajua bora ujambe sauti itoke hio huwa haitemi saana cheche kuliko ule wa kujamba kimyakimya,huo huwa ni noma kwa harufu[emoji3]

Ikabidi mimi nizugishe kuwaambia watoto walikua pembeni yetu na kasinia kao wanakula
Kwa ukali nikasema”NYINYI WATOTO MNAKOSA ADABU AU”
Huku macho ya watu yanatutazama sisi
Bana kakaibuka kazee kamoja na kibaragashia chake kakapayuka kwa nguvu na kusema
“NINI,,!!!!!USIWAZINGIZIE HAWA WATOTO MJAMBAJI NI HUYU HAPA”
Hako kazee kanaongea huku kanamsonta mshikaji kichwani[emoji3][emoji3]
Mamamamamama,!!!!nlishindwa kuvumilia nlipomcheki jamaa
yangu badala ya kujitetea ati anaangalia chini tu
Hapo nilicheka hadi kupaliwa na chakula[emoji3][emoji3]
Aseee hio sintoisahau
Kila nkifikria kale kazee bana kalivoinuka na kusimama watu wote tulikuwa tumekaa kwenye mikeka kanamsonta mshkaji kwa kidole huku vidole vingine vimeibana nyama kiaina[emoji3][emoji3]
 
Ushuzi mkali shule ya msingi tulikuwa tunaita "kisambaza kundi ".
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
huyo jamaa aliendelea kuufinya au ndio aliachia hapo
 
Ushuzi mkali shule ya msingi tulikuwa tunaita "kisambaza kundi ".
kuna jamaa yangu alikuwa wa kuitwa gusi,basi yy alikuwa maarufu sababu ushuzi wake ulikuwa haubadiliki harufu hata anywe perfume,yaani ilikuwa akinyamba ushuzi wake kila mtu anajua ni gusi,afu alikuwa mbabe kinyama sasa ukisikia ufyuzi wa gusi ole wako ucheke,utakiona wakati wa kurudi shule...anakukata mitama balaa alafu ole ukasemelee shuleni au nyumbani,dah aisee kusema kitawanya kundi ndio umenikumbusha gusi...asa sababu mbabe ilikuwa akinyamba tu kila mtu anatawanyika kimyakimya....na hata hapo ilikuwa lazima akuchenjie
 
nakumbuka tulikua mtoni tukishindana kuachia majamboz mshikaj alijikaza mara ghafla tukaona vitu vikiruka hatua kadhaa hadi kwenye galoni lililokua nyuma ukizingatia tulikua uchi
 
Wanyakyusa walafi sana ukitaka upatane nae hata mama au baba mkwe wape vyakula tu tena vitamu vitamu na akirudi kwao utamwagiwa sifa na utegemee ugeni mkubwa sasa...

Fyosa fyangu!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] yekeleuwiiii hapo mwisho umeandika nn
 
Dah!hata kama kucheka hutaki utacheka tu aisee.sawa wakuu mmetunyoosha mbavu washindi nyie.
 
Nko zangu ndani ya EMIGRACE natoka manyara to DSM sina mbavu na huu uzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…