Tuliowahi kujamba ushuzi mkali wa kunuka kwenye halaiki ya wa tukutane hapa

Jaman nan kafufua huu uzi wa kujambaaa watu wengine hatuna break full kunyambaaaa tu
umetoboka demiss wa minyambo
af yule poti uliemfungia chooni ungeondoka unamnyambia mnyambo wa karne...ile pppyyyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu yaani badala ya kumfyonya unamnyambia[emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
umetoboka demiss wa minyambo
af yule poti uliemfungia chooni ungeondoka unamnyambia mnyambo wa karne...ile pppyyyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu yaani badala ya kumfyonya unamnyambia[emoji2] [emoji2] [emoji2]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Saivi mwanaume akipiga show mpaka nichoke naanza kujambaaa jamba tu lazima aombe pooh maana atashindwa.harufu alafu mnyambo wang sasa unapitaga kwenye papuchi full tetemeko mpaka achomoe mashine
 
[emoji23] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
ule mtetemo tu unachomoa mkuyenge,pa pa pa pa pa pa prrrrraaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Prapaprappapraparpaaprappapaaaa

Hatar uliza demu wako akusimulie mnyambo wa kwenye papuchi ni kitu nyingine alafu huwa una harufu mbaya unaweza kuzimia
 
Kuna siku me ilinitokea ingawa nilikuwa alone kwenye gari natoka job kuelekea geti la ofisini ile niko peke yangu nikaona tumbo kama limejaa sana gesi basi nikajiuliza shida ya nn na mie niko peke yangu kwenye gari. Basi niliachia ushuzi mmoja una harufu kali kama kiwanda cha ngozi.

Basi wakati unasambaa vizuri ndani ya gari nikaona staff wenzangu wanavizia lift getini na piga ua lazima usimame pale na ukicheki jamaa wameshaanza kukaa sawa kuchukua lifti. Unaambiwa nilifika pale nikavunga naongea na simu kama siwaoni vile mpk wao wakashangaa maana si kawaida kuacha mtu.

Mlinzi getini alikuwa ananionyesha ishara kuwa jamaa wanaomba lift mzee nikala bati mpk akafungua nikapita zangu. Ile scud ilikuwa na harufu mbaya hata mie niliyoitoa ilinivuruga
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu kama kiwanda cha ngozi eti,dah watu misemo aisee
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]aisee ushuz ni adui wa lift
 
Aah umezidi kula na wewe kama fuko
 
Wakati tunasoma nikiwa na Pascal Mayalla darasa moja, siku moja tukiwa kwenye hice Pascal aliachia ushuzi mmoja matata hadi Dereva akasimamisha gari kwa muda na kuwaruhusu abiria wapunge hewa kwa dakika tano.
 
Nakumbuka nilipikuwa shule ya msingi huko shy nilikuwa maarufu sana kwa kujamba ushuzi wenye harufu kali sana kuliko wote darasani....ndipo nilipopewa jina LA kategele hahahahahah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…