Tuliowahi kujamba ushuzi mkali wa kunuka kwenye halaiki ya wa tukutane hapa

Wakati tunasoma nikiwa na Pascal Mayalla darasa moja, siku moja tukiwa kwenye hice Pascal aliachia ushuzi mmoja matata hadi Dereva akasimamisha gari kwa muda na kuwaruhusu abiria wapunge hewa kwa dakika tano.
mkuu,pascal huyu huyu au unataka tu umaarufu
 
Mkuu kwa hii menyu yako.. hela ya viatu unashiba kweli......
nashiba sana mkuundugu,asubuhi naamka kabla ya mswaki nakula papai moja na nanasi zima,napenda sana maziwa mgando...nagonga nusu lita kisa natulia saa mbilimbili ndio nakunywa chai ya maziwa na magimbi na viazi vitamu,nakaa kidogo napiga tikiti na uji wa ulezi ndio naingia kazini.....saa saba hivi nanyorosha ugali na mlenda wa maharagwe,napiga tena maziwa mgando nashushia na koka mbili take away bariiiiiiiidiiiiiii,muda wote nikiwa loose huwa natafuna karanga zangu na korosho sina habari na mtu....
 
Poa mkuu kwenye Tanzania ya viwanda wewe mwenyewe naona ni kiwanda tosha
 
😀😀😀😀
hivi kumbe ni kunyamba na sio kujamba enh?
 
😀😀😀😀😀😀😀😀😀
dadeki walahi
 
Mimi nilikua na mtoto....alisem nini ichi kinanuka kabla sijamjibu akatapika sana had nilimuonea huruma
 
Mimi nilikua na mtoto....alisem nini ichi kinanuka kabla sijamjibu akatapika sana had nilimuonea huruma
kuna moja nilinyambaga hadi mtoto akaota upele...mwingine macho yalianza kuwasha akawa analia tu
 
Kuna siku nikiwa form 6 na jamaa yangu siku ya ijumaa tumetoloka skul saa 6 ,tukapanda hiace iliyokua imejaa watu wazima umri kama 40 hivi
Ile hiace ilikua imefungwa madirisha,ghafla mmoja ya wale madingi alijamba kijambo ambacho sikuwahi kukinusa maisha yangu yoteee [emoji23]
Afu alikua kati kati sasa,ka hiace kote kakanuka
 
Kumbe Ndo wewe bro?za tangu siku ile Vp Ulifika Salama? Daah me Nilijua kuna mzoga nje ile harufu balaa!!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] dah,nimecheka sana mkuu,you're so funny guy
 
Daima sinaga haiba ya kula kula saana niwapo safarini,si kila kituo nakula nop,naweza kutoka mbeya hadi moro nimekula mara mbili tuu na vyakula vinavyoeleweka kama ndizi ni ndizi,kama chipsi ni chipsi no mixing
 
Very tallented
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…