Tuliowahi kujifunza kifaransa tukutane hapa

Moi je porte bien,...Merci!. Lugha ya kifaransa nimekutana nayo wakati nimeanza kidato cha kwanza Mzizima Secondary School mwaka 1975. Katika masomo ya Lugha, ilikuwa ni lazima kujifunza Kiswahili Kiingereza na Kifaransa. Mwalimu wangu wa sarufi ya kifaransa alikuwa mwalimu kutoka Zaire wakati huo.

Hadi sasa Kifaransa ni kati ya lugha nne za kigeni ninazoweza kuzitumia kuwasiliana. A bientot!.
 
Félicitations vieille homme donnez- moi un près de Marseille
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…