Tuliowahi kujifunza kifaransa tukutane hapa

Tuliowahi kujifunza kifaransa tukutane hapa

Wakuu,

Nilijifunza kifaransa na nikawa mzuri mno, ila kwa sasa nimesahau karibu mambo mengi mno tatizo likiwa ufinyu wa wazungumzaji hivyo nikashindwa kukuza lugha.

Tuliowahi kujifunza hii lugha, karibuni.

Bonjour ?? sava??
...Quand j'ai faim, je ne peut pas parler le français...il faut quand je mange d'abort...
 
Wakuu,

Nilijifunza kifaransa na nikawa mzuri mno, ila kwa sasa nimesahau karibu mambo mengi mno tatizo likiwa ufinyu wa wazungumzaji hivyo nikashindwa kukuza lugha.

Tuliowahi kujifunza hii lugha, karibuni.

Bonjour ?? sava??
Hili neno 'sava' spelling zinakinzana na ulichoandika eti ulijifunza kifaransa ukawa mzuri mno! Mimi nilijifunza lugha hiyo kwa wiki 2 pale Alliance Français mwaka 1999, niliacha kwa kukosa muda wa kuendelea na kozi hiyo. Bado natamani kuijua lugha hiyo hata sasa!
 
Mkuu napenda kujifunza hi lugha, nipe maelekezo hapa najiungaje, je Kuna gharama yeyote?
Pale inaweza chagua mwenyewe session unayotaka kuingia na kwa wiki mara ngapi kulingana na ada yako, mitihani yao ya DELF inafanyika mara mbili kwa mwaka mwezi Dec na Jun. Mimi nilisoma sekondari nikaja hapo nikapiga hadi DELF A2
 
Back
Top Bottom