Tuliowahi kujifunza kifaransa tukutane hapa

Tuliowahi kujifunza kifaransa tukutane hapa

Oui oui(yes yes) - Mfaransa akiitikia wii wii-ndio ndio huwa inasound sexy sana
 
Wakuu,

Nilijifunza kifaransa na nikawa mzuri mno, ila kwa sasa nimesahau karibu mambo mengi mno tatizo likiwa ufinyu wa wazungumzaji hivyo nikashindwa kukuza lugha.

Tuliowahi kujifunza hii lugha, karibuni.

Bonjour ?? sava??
Niliacha form 3,nakumbuka je t'aime,na maneno kadhaa
 
Pourquoi est ce que la philosophie du socialisme et de l'autonomie,c'est mort?[emoji3][emoji3]
Le gouvernement n'a pas de l'argent,le socialisme provoquer la pauvreté. Il fallait que le capitalisme prenne la place car les investisseurs font marcher l'économie d'un pays.
 
Back
Top Bottom