Tuliowahi kujifunza kifaransa tukutane hapa

Wakuu,

Nilijifunza kifaransa na nikawa mzuri mno, ila kwa sasa nimesahau karibu mambo mengi mno tatizo likiwa ufinyu wa wazungumzaji hivyo nikashindwa kukuza lugha.

Tuliowahi kujifunza hii lugha, karibuni.

Bonjour ?? sava??
Comma Sava!
 
Shakapurswa 😂😂😂😂😂meaning utajiju
 
Back
Top Bottom