Tuliowahi kukopesha watu pesa na tukazimwa tukutane hapa

Huo ndo ubahariaa mkuu
 
Kuna ile upo mtoto umepiga vibarau vya kusomba mchanga afu anakwambia niazime pesa nikanunue kitu nitakurudishia..siku ukimkumbusha utaambiwa nilipe pesa ya kukunyonyesha
hebu acha kujidhalilisha mkuu
 
hahahah we jamaa una roho ngumu
 
kitu gani hicho
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
vipi akiiona hii comment??
 
Ok. mimi kuna demu alinipa laki nimshkie eti kuna pesa nyingine anasubiria aongezee anunue simu...
Nimekaa nayo mwezi nashangaa mtu hanidai, ikabidi nimwambie msela wangu wa karibu mbona huyu Beatrice kanipa pesa zake alafu kakaa kimya.? Msela akaniambia jiongeze mzee baba [emoji28]

Basi siku tulipokutana na yule demu nikamuuliza ile pesa yako vipi, mimi nimeingiwa na vishawishi nimeanza kuitumia!. Yule demu akajifanya et ohh pesa yake anaitaka yote, isipungue ata mia... Alafu huku anacheka cheka..

Mpaka leo ananiambiaga Bella Ciao ulinitapeli laki yangu.. Namwambia njoo nipunguze deni... (akija namgegeda alafu anasahau)
 
Daaah mi naona ndo naongoza kudhulumiwa walaaah...kuna jamaa yangu nlimkopa laki,amenzungusha hadi nmechoka ,anakaa kama mwezi ananipigia simu anasema ata double deni ,mwingine nlimkopesha my ex...yaani ni kama sadaka vile ,ukimwambia airudishee anajizungusha..ila huyu dawa yake ipo karibu na kipndi hiki cha mvua simwachi
 
Mimi huwa napendaga kukopesha wadada tu maana hamna namna lazima alipe tu.

Kuna mdada tulipanga nyumba moja aliniomba nimkopeshe 20,000/= tu. Bila kigugumizi nikatoa. Basi ikapita miezi 3 bila kumuuliza wala yeye kuleta mrejesho. Kuna siku naangalia mpira ghetoni usiku akanitext "Nije nikusaidie kuangalia mpira" nikamjibu karibu vile nilikuwa alone. Haah yaani alivyoingia hajakaa sofani kafikia kitandani. Nakumbuka ile ilikuwa dakika ya 56 ya gemu ile sikupata fahamu tena maana tulijikuta tunatiana tu bila hata kuambiana kustuka gemu imeisha na hata sijui nani kafungwa. Style hii nimekula mademu kibao.
 
Aaha nigger una moyoo mgumu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]sasa watu walikuwa hawalazi magari yao hapoo.?.
No pale palikuwa namagari mabovu wenyewe kama vile walikuwa wameyazira gereji mara nyingi Gari pale zinaingia nakutoka.
 
Wanasemaga si vyema kulipa kisasi ila kwa mazingira kama hayo hamna namna. Mtu huwezi kumpa hela kwa upendo halafu akaishia kuleta dharau za kindezi na kejeli plus vitisho kuwa humfanyi lolote eti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…