Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 37,630
- 47,434
Daah, wabongo bwana nadhani majungu ni sehemu ya mada huko mashuleni, kuna watu ni wataalam.
Yaani unaweza pigwa jungu mpaka wewe mhusika mwenyewe unaamini ingawa sio kweli.
Haha, kuna baadhi ya watu ni mafundi aisee, yaani mtu anaweza kaa nusu saa nzima anaelezea uongo tu na wala hata hapepeseki kope, na unakuta huko anakosali ni mzee wa kanisa, unabaki kujiuliza hivi huyu Mungu anayemtumikia ni huyu huyu ninayemfahamu mimi?
Karibuni tupeane uzoefu wa majungu sehemu za kazi.