Tuliowahi kula wasanii wakubwa wakubwa tujuane

ukiwa na rafiki wa hivi ni hatari hata kumkaribisha nyumbani, mana wote mnaonekana wa hovyo, mtu wa hivi kumkwepa
Mkuu kuna jamaa niliwahi gombana nae kisa kutaka atumie chumba changu kukazia mademu wake..

Kipindi hiko cha ujana
 
Kwaiyo chief ushauli wako ni upi kwa ambao hatujala
 
Hongera sana
 
Ila una moyo kwa kweli, unamlipa demu kwa lipi? Mimi hata iweje siwezi na sitaki hii laana ya kumpa hela mwanamke kwa ajili ya ngono, wanakuja wenyewe kwangu na usikute hizo hela unazowapa ndizo wanazonihonga mimi. Ila pole sana mkuu kama nimekula hela zako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…