Tuliowahi kula wasanii wakubwa wakubwa tujuane

😀😀😀 imagine watu wa nec wanashindana kula celebrities.
 
Udbs ndio chimbo lenu lakuokotea watoto wakali bei chee nakina mwijakuu😂😂😂😂😂

Hahahahaha yaaan hawa wasaanii inamaana wanauza?? 1.5 M

Pesa nyingi saaana
 
Itakuwa una ushamba wa hali ya juu sana. Hawa wasanii nao ni wa kuwapa 600k? Kuna manzi mmoja sio msanii ila ni kama meneja wa baadhi ya wasanii... aliniomba nimkopeshe 1m nikampa kiroho safi. Kwenye kurudisha ikawa kashehe... akawa anasumbua na mimi kumla sikuwa na hayo mawazo kabisa. Kwanza siwezi lipia bao 2 hadi 3 kwa 1m wakati Sewa Bar bao ni Tsh 3000/= kwa bei elekezi. Ile hela aliirudisha kidogo kidogo hadi akamaliza deni.
 
Njoo pm unipe namba zao na mie nipite nao mwanawane
 
Ulikataa kulipwa kwa utelezi.
Kenge hizi ndio zao wanakopa lakini hawana nia ya kurudisha
 
Nilivyokua Kwenye umri wa 20s,nilikua naona ufahari sana ku hit, sometimes tulikua tunawekeana dau like "fulani"huwezi kumpata...and yes hao A list kama wawili watatu, mmoja alikua wa diamond, akamuachia Joseph chameleon akamnunulia Toyota Opa time zinatoka, me kila weekend naiwasha hadi moro town..now I'm 30s nimejifunza hakuna ufahari wowote Kwenye s*x

And it's kinda overrated kwa wanaume ndio maana wanafanya kila kitu hili akojoe tu,wanawake wenyewe sasa,do they worth the struggle?kwichi kwichi tu??I've touched mooo p**sy than a tampon, Faida niliyopata??guys nyuchi zilezile.now i ain't take a pride hata niwe na sabrina carpenter..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…