[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]Hahaaa. Ila afya ambayo haikuwa ya malengo.
Ila wanaume huwa mna kazi sana aisee.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] alikuwa anauza mapera mabichi?!Kuna njemba hapa street zilikuwa zinakula mapera balaa kisa demu anauza habari walikuwa wanaipata kwenye kutoa haja kubwa. Ila hakuna aliyekula mzigo waliambulia kutatuliwa malinda kila siku na mbegu za mapera.
Usinione sibanduki hapa mdogo wangu nasubiria na wewe uandike wapi umeweka kambi.[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
Ndio hapa najiuliza ujue. [emoji2] [emoji2]Utanigawa kwa nani sasa maana akina carba, ukhuty, kapeace,....siwaoni siku hizi
Hahaaa. Ila afya ambayo haikuwa ya malengo.
Ila wanaume huwa mna kazi sana aisee.
Usijali bana mimi mdogo wako sigawikiNdio hapa najiuliza ujue. [emoji2] [emoji2]
Ha ha ha ha ahaaaaaaaUsinione sibanduki hapa mdogo wangu nasubiria na wewe uandike wapi umeweka kambi.
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Hahahah sina mbavuKuna njemba hapa street zilikuwa zinakula mapera balaa kisa demu anauza habari walikuwa wanaipata kwenye kutoa haja kubwa. Ila hakuna aliyekula mzigo waliambulia kutatuliwa malinda kila siku na mbegu za mapera.
[emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kuna kaka alinifanya niwe naenda kununua pepsi dukani ili niwe namuona tu
Muda mwingine soda zipo natoka tu ili nimuone yule mkaka
[emoji1] [emoji1] Ziwa lina top layer ya maana! Isijekuwa mrembo kaongeza na blue band!Kwakwel nimevumilia leo nimechoka na hiii bill ya maziwa ambayo haina ulazima, ikabidi nimuombe number hapa muda huuu nachat nae. Tuombe Mwenyez Mungu haya mambo yaende kam yalivyopangwa
Daah mkuu umenichekesha sana. Hivi viumbe havifai kabisa.Nilipitiliza kituo zaidi ya kilomita 60 ili nimsaundishe mtoto niliyekaa naye, nikaruka sarakasi zangu nikaambulia namba ya simu na ahadi kuwa lazima tutaonana.
Tulishuka wote ila yeye alifatwa na bodaboda, mimi usiku ushafika nikazama lodge, mid night nikatumiwa text ya usiku mwema.
Asubuhi nimetoka room sura ya kwanza kuonana nayo koridoni ni yule manzi kumbe alilala next door. Kabla sijamaliza kushangaa likatoka linjemba limejifunga shuka kiunoni, lina afya mara mbili zaidi yangu lina manyoya kifuani kama ngedere. Limeenda kubembeleza mhudumu awape chai mbili kwa kelele sana.
Sikuwa na cha kufanya zaidi ya kujiona bonge la pimbi na kugeuza nilikotoka. Hata kichai chao cha bure nikasusa.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Nilijikuta nabet buku 40...nikiwa na demu mmoja hivi...eti nikajifanya ntashinda ....mhindi aliipitia yote ..