Tuliowahi kununua/kupata huduma bila umuhimu wowote, ili mradi unanyemelea mrembo tukutane hapa

Tuliowahi kununua/kupata huduma bila umuhimu wowote, ili mradi unanyemelea mrembo tukutane hapa

Kuna njemba hapa street zilikuwa zinakula mapera balaa kisa demu anauza habari walikuwa wanaipata kwenye kutoa haja kubwa. Ila hakuna aliyekula mzigo waliambulia kutatuliwa malinda kila siku na mbegu za mapera.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] alikuwa anauza mapera mabichi?!
 
Nilijikuta nabet buku 40...nikiwa na demu mmoja hivi...eti nikajifanya ntashinda ....mhindi aliipitia yote ..
 
-
Hahaaa. Ila afya ambayo haikuwa ya malengo.

Ila wanaume huwa mna kazi sana aisee.

Tuna mateso sana. Kuna siku nikiwa naenda Iringa bado kidogo nishuke Morogoro na kusamehe nauli kwa ajili ya mrembo fulani
 
Kuna njemba hapa street zilikuwa zinakula mapera balaa kisa demu anauza habari walikuwa wanaipata kwenye kutoa haja kubwa. Ila hakuna aliyekula mzigo waliambulia kutatuliwa malinda kila siku na mbegu za mapera.
Hahahah sina mbavu
 
Kuna kaka alinifanya niwe naenda kununua pepsi dukani ili niwe namuona tu
Muda mwingine soda zipo natoka tu ili nimuone yule mkaka
[emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kwakwel nimevumilia leo nimechoka na hiii bill ya maziwa ambayo haina ulazima, ikabidi nimuombe number hapa muda huuu nachat nae. Tuombe Mwenyez Mungu haya mambo yaende kam yalivyopangwa
f2fa7f29d100a11ca0e914cb4d984b19.jpg
 
[emoji1] [emoji1] Ziwa lina top layer ya maana! Isijekuwa mrembo kaongeza na blue band!
Usijeachiwa vumbi tu!
Kila rakheli mkuu!
 
Nilipitiliza kituo zaidi ya kilomita 60 ili nimsaundishe mtoto niliyekaa naye, nikaruka sarakasi zangu nikaambulia namba ya simu na ahadi kuwa lazima tutaonana.

Tulishuka wote ila yeye alifatwa na bodaboda, mimi usiku ushafika nikazama lodge, mid night nikatumiwa text ya usiku mwema.

Asubuhi nimetoka room sura ya kwanza kuonana nayo koridoni ni yule manzi kumbe alilala next door. Kabla sijamaliza kushangaa likatoka linjemba limejifunga shuka kiunoni, lina afya mara mbili zaidi yangu lina manyoya kifuani kama ngedere. Limeenda kubembeleza mhudumu awape chai mbili kwa kelele sana.

Sikuwa na cha kufanya zaidi ya kujiona bonge la pimbi na kugeuza nilikotoka. Hata kichai chao cha bure nikasusa.
Daah mkuu umenichekesha sana. Hivi viumbe havifai kabisa.
 
Kuna dada moja hivi nilikutana naye akiwa anatoka hotel kwenda kupanda shuttle
Nikamkimbilia
Mimi: Dada !!
Yeye: Nini ?
Mimi: Hamna

Niligeuza tu kwa upole halafu baadae najiuliza nilikimbilia nini nilikuwa bubu ghafla
 
Kwa wakazi wa arusha nazani wanaikumbuka ngalimi ya km miaka kumi nyuma ilivyokuwa nlishasindikiza mtu huko saa nne usiku nilitoboa lakini n kitu ya ajabu sana nliofanya mpaka leo naikumbuka
 
Back
Top Bottom