Tuliowahi kununua/kupata huduma bila umuhimu wowote, ili mradi unanyemelea mrembo tukutane hapa

KIBAHA BOYS enzi hizoo niko A level mwaka 2014-16 kuna manzi alikuwa anaitwa Husnaaa...aisee alikuwa anauzaa mihogoo ilee saa nne ni shulee nzima tunashambuliaa mihogo vilee shule ya boys...ikiisha ndo tunaanza vitafunwa vingine..!! Siku husna asipokujaa mihogo yaoo inadororaa... Wadau wengine wanamsonga songa na matiti wanagusa gusa humo humo..yani shidaa..Kulaa mihogo sana ka Nguruwee hata iwee mibaya vipii
 
-

Tuna mateso sana. Kuna siku nikiwa naenda Iringa bado kidogo nishuke Morogoro na kusamehe nauli kwa ajili ya mrembo fulani
Hahaaa. Ila niwasifu mna mioyo ya kipekee bana.

Hivyo uliwaza bora nauli yako ipotee. Duuh.
 
Bado Mlikuwa mnanunulia vitafunwa pale Scandia?

Husna ni yule demu black au ni mwingine?

Nb: Umenikumbusha mihogo ya mama bonge, i was there.... Nilimaliza 2009 hapo,nilikuwa PCM
 
Nshapanda sana daladala za mbezi...kaa sana pale kituoni. PAPUCHI IACHENI IITWE papuchi
 
Bado Mlikuwa mnanunulia vitafunwa pale Scandia?

Husna ni yule demu black au ni mwingine?

Nb: Umenikumbusha mihogo ya mama bonge, i was there.... Nilimaliza 2009 hapo,nilikuwa PCM
Mama bonge alikuwa na pilipilii amaizing...!! Husna 2009 hakuwepo alianza kuja 2014 ni manzi flani mrefu mweupee... Mkalii kishenzii yanii sema shidaa tu hazina adabu... me 2009 ndo nlianza form 1...
 
Mama bonge alikuwa na pilipilii amaizing...!! Husna 2009 hakuwepo alianza kuja 2014 ni manzi flani mrefu mweupee... Mkalii kishenzii yanii sema shidaa tu hazina adabu... me 2009 ndo nlianza form 1...
Aisee, basi huyo simfahamu. Miaka hiyo nilikuwa sina time na mambo ya mabinti kabisa.

Nilikuwa nakula msuli 24/7, si unajua msuli wa kibaha tena.

I wish nimuone huyo Husna. Huna namba yake?
 
au ile utakuta umemuona dada ameenda sehemu ambayo hata hukuwa na ratiba nayo au kama yupo shop na wewe unajipeleka unanunua kitu ambacho hata hukutegemea,lkn unamfuata eti kisa tu uanzishe mazoea,mwisho wa siku unachezea kitasa...hawa viumbe hawa.

Alichonifanyiaga mahondaw acha tu. Siku hiyo nimemeza formula nzima nakuja kuitapika kwa mahondaw nilichoambulia yaani salamu tu nikapigwa jicho la staki mazoea

Kilichotokea ata nikkumuona yule anapita hivi nilikuwa najichimbia ila huyu mwanamke bana Mungu amsaidie nami namuombea afanikiwe

Ila lile jicho bana duh unaweza kukata roho
 
Aisee, basi huyo simfahamu. Miaka hiyo nilikuwa sina time na mambo ya mabinti kabisa.

Nilikuwa nakula msuli 24/7, si unajua msuli wa kibaha tena.

I wish nimuone huyo Husna. Huna namba yake?
Haa ha ha ha... sina mzee..!! Kitambo sana naisi asholewaa hata...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…