Tuliowahi Kupata Ajali Na Kupona Tukutane Hapa! Tumshukuru Mungu Na Kutoa Somo.

Kipindi nipo primary 2002,nilipata ajari ya gari wakati navuka barabara. Nilishonwa nyuzi 12 kichwani.

Namshukuru Mungu maisha yanasonga vizuri tu.
 
Na pale kulivyo na vindege nadhani ulienda kujiliwaza kabisa. Ure wa hai nene Soya.
 
Ilikuwa tarehe 21 mwezi wa sita mwaka 2014 nilipatwa na ajari ya kondomu kupasuka wakati demu niliyekuwa naye alikuwa nikicheche balaa,nashukuru mungu binti hakuniambukiza ukimwi.
duuh pole mkuu aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…